Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,167
Siyo wote mkuuHuu uzi nilikuaga mdau sana miaka ya nyuma ila nikaja kuuacha baada ya kupata GB1 kwa buku wiki nzima, leo nimeurejea baada ya kamati ya roho mbaya kuziba mifereji yote now naona umuhimu wa huu uzi, baada ya serikali kupandisha vifurushi japo nao matapeli wamechukulia kama fursa
Hii menu unaipataje mkuuNilijua uongo kumbe kweli buana dar super uni vodacom View attachment 2045483View attachment 2045484
Kama una simu yenye RAM ya 3GB jaribu kuunga uone donlucchese hatakupa muongozo hapa na kufanya hotspot lazima utumie PdaNet+ au uroot simu utumie vpn Hotspot ila speed siyo kivile pia simu itachemka na kudrain battery kinoma.Kwani hizo za kwenye simu hauwezi uka connect na pc kupitia wireless
Ilikuwaje kuwaje mpaka hiyo huduma ikawa disconnected?Kama una simu yenye RAM ya 3GB jaribu kuunga uone donlucchese hatakupa muongozo hapa na kufanya hotspot lazima utumie PdaNet+ au uroot simu utumie vpn Hotspot ila speed siyo kivile pia simu itachemka na kudrain battery kinoma.
ile ya pc ilikuwa faster sana tena tulikuwa tunaunga hadi modem 2 kwenye pc moja kwa kutumia Connectify Dispatcher unapata speed Amazing ya kushushia magame hadi kustream torrent tv na online tv zinginezo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiongoz ulikua unaunga kwa 10k now umeshuka hadi 2k naona kichwa kinachemkaNjoo nikuunge kwa 2000 tu mkuu
Huyu ni kibaka usimfate popote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiongoz ulikua unaunga kwa 10k now umeshuka hadi 2k naona kichwa kinachemka
Asili ya hizi programs za simu nyingi ni pc, kama mtu anaweza kushare config yake tunaweza kuiport kwenye pc.Kama una simu yenye RAM ya 3GB jaribu kuunga uone donlucchese hatakupa muongozo hapa na kufanya hotspot lazima utumie PdaNet+ au uroot simu utumie vpn Hotspot ila speed siyo kivile pia simu itachemka na kudrain battery kinoma.
ile ya pc ilikuwa faster sana tena tulikuwa tunaunga hadi modem 2 kwenye pc moja kwa kutumia Connectify Dispatcher unapata speed Amazing ya kushushia magame hadi kustream torrent tv na online tv zinginezo
Oya mzee huu mchongo ukitiki msinisahau na mimiAsili ya hizi programs za simu nyingi ni pc, kama mtu anaweza kushare config yake tunaweza kuiport kwenye pc.
Na kweli hotspot inaua battery siku kadhaa tu ukitumia na vpn pamoja.
Jamaa kumbe ni tapeli EeeAcha utapeli wewe kibaka
Mkuu nimekutag hapo juuAsili ya hizi programs za simu nyingi ni pc, kama mtu anaweza kushare config yake tunaweza kuiport kwenye pc.
Na kweli hotspot inaua battery siku kadhaa tu ukitumia na vpn pamoja.
Usijaribu hata kumsikiliza kibaka huyoJamaa kumbe ni tapeli Eee
Wapi mkuu? Sometime notification haziji, uzi huu? Comment no ngapiMkuu nimekutag hapo juu
Post #4246Wapi mkuu? Sometime notification haziji, uzi huu? Comment no ngapi
120kJe kwa malipo ya kiasi gani kwa kila mwezi?
nime download app na ku install bacTayari file unalo mkuu?
Jumbe 0769888889Anayefahamu kampuni inayotoa huduma ya internet kwa satellite anisaidie. Mahali niliko hakuna cable hivyo lazima uwe na line ya simu. Mimi nahitaji internet ambayo itanihudumia na niwe nalipa kwa mwezi. Kw matumizi ya ofisi
Chief-Mkwawa Mwl.RCT
Join hii telegram link, utapata file la mtandao unaohitaji , kuimport rahisi tu.nime download app na ku install bac
Satelite tumia konnect, installation ni bure ila wanataka ulipie mwaka mzima kwanza.Anayefahamu kampuni inayotoa huduma ya internet kwa satellite anisaidie. Mahali niliko hakuna cable hivyo lazima uwe na line ya simu. Mimi nahitaji internet ambayo itanihudumia na niwe nalipa kwa mwezi. Kw matumizi ya ofisi
Chief-Mkwawa Mwl.RCT