asanteJoin hii telegram link, utapata file la mtandao unaohitaji , kuimport rahisi tu.
𝕂𝕐𝔼𝕐𝕀𝕋
We are not hackers, we are Ethical Hackers. ⚓️🌚 Premium channel guess what? Where all is free. 😋What we do ✔️Free Internet Tricks ✔️Essential Tutorials ✔️Finance ✔️Ethical Hacking ✔️SEO Guides ✔️PayPal Tutorials ✔️Crypto ⚠️Join Fast⚠️t.me
Tayari kishanuka huko Ha tunnel[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiongoz ulikua unaunga kwa 10k now umeshuka hadi 2k naona kichwa kinachemka
Umeamia tigo nako unatka kupga watu mzee wa vpnWatumiaji wa Tigo mpo?. Pata Gb unlimited kwa shilingia 9k ndani ya mwezi mzima karibu Pm nikuunge.
Si uingie kule uchukue hat file ucheck then ufanye hizo mamboHizi mambo tumeanza kitambo sana henzi za webproxy,cproxy,PD proxy,Tunnel Guru, open vpn (NMD,VPNbook),Meteor vpn,Sandwich vpn,http injectior etc.
Kamanda e2themiza alikuwa akitoa trick nyingi sana tena bure kabisa isipokuwa chache kama PD proxy zilikuwa za kulipia hela kidogo ya vocha,Chief-Mkwawa , Mr Kicheko, @iskoskaz, Biohazard hawa nao walitoa mchango mkubwa kupata free net bure kabisa kupitia webprox server, open vpn etc.
Wadau hawa wajuu hawakuwa wachoyo kutoa michongo kama hiyo ya hapo juu na Code kama zile za kubypass megabox ya tigo, ile ya kuunga net bila ya hela alafu unadeact then unaunga tena inakubali unlimited ya full speed for free au vocha ya jero tu mwezi mzima.
Kundi lingine ni la kina Paje ,munjy1, Njunwa Wamavoko Mwl.RCT hawa walikuwa seller wa PDproxy,Tunnel guru,Meteor vpn, Sandwich vpn nk.
Mambo ya ujanja ujanja yalikuwa hayapo, mterezo wa free kina Chief-Mkwawa walikuwa wanatoa bure na sellers walikuwa wakiuza zao afu trick zote zilikuwa ni za pc na speed ilikuwa tamu kweli japokuwa tulikuwa tupo 3G.
Wenye tamaa zao ndio walikuja kuharibu hizi mambo kwa kupeleka FB na kwingineko
Asante mkuu nmejoin kama kuna magroup mengine ya tereglam na WhatsApp mazur yenye madini naomba link zake niongeze madini mkuu [emoji122][emoji122]Join hii telegram link, utapata file la mtandao unaohitaji , kuimport rahisi tu.
𝕂𝕐𝔼𝕐𝕀𝕋
We are not hackers, we are Ethical Hackers. ⚓️🌚 Premium channel guess what? Where all is free. 😋What we do ✔️Free Internet Tricks ✔️Essential Tutorials ✔️Finance ✔️Ethical Hacking ✔️SEO Guides ✔️PayPal Tutorials ✔️Crypto ⚠️Join Fast⚠️t.me
uyo naisi ni kwa wakazi wa dar tuHii menu unaipataje mkuu
Mzee baba umetisha sana na una memory ya miaka mingi sana.Wakuu kina e2themiza , Mr Kicheko, @iskoskaz wamepotea JF kitambo, Biohazard Nadhani kabadili ID waliobaki wameachana na hizi mambo na kujikita kwenye mambo yao mengine maana hizi ishu ilikuwa ujitoe kweli kutafuta loop hole na kujua mechanism za ufanyaji kazi wa hizo VPN maana hazifanyi zenyewe bila ya config.
CPROX, PD Proxy, Tunnel Guru na Open vpn vipo hadi leo shida ni huo upenyo na config zake.
Kumbuka zinategemea sana open port na free page ya mtandao husika, HTTPS imekuja kufanya mambo kuwa magumu zaidi.
Zilizopo sasa ni za simu ndio hao kina Phspon, ha tunnel etc.
Kitu hiko slow na inadrain battery kinoma
si uchukue hat file kule then fanya hizo mamboAsili ya hizi programs za simu nyingi ni pc, kama mtu anaweza kushare config yake tunaweza kuiport kwenye pc.
Na kweli hotspot inaua battery siku kadhaa tu ukitumia na vpn pamoja.
Usijali mkuuAsante mkuu nmejoin kama kuna magroup mengine ya tereglam na WhatsApp mazur yenye madini naomba link zake niongeze madini mkuu [emoji122][emoji122]
Yapo encrypted. Niliwahi jaribu mda kidogo zinakuja gibberish, labda kama kuna mtu ana program inayo decrypt vizuri.si uchukue hat file kule then fanya hizo mambo
Yapo encrypted. Niliwahi jaribu mda kidogo zinakuja gibberish, labda kama kuna mtu ana program inayo decrypt vizuri
TNJLRhqszpDzQ/GslFOFL1x1qsBMybwNLf5iHoqo3Yx6q40FGSxMM88SU0LZFU2bcR6S4EYCHdCr27uw9JhuRJTO6I45AllpPYKl27sNyAr8mE1Qn+qKlC8a4meEabwqu5Nu5luRXXU82cYf1F3hFpKIZnNOJ3kamN6vDIYkILzJPDXT1QHgZeQDx5gUWmz6UCGvngH5jrjWdfi/mcERLyvkXGfW9atHSOSuAIgxc12NdRd+29JpSy8X/Oqb+f/Bp/5vMXEJP1mrfLwr9+tIPeVtNWrhNW210FIw30lIUbAm6oeZENClOZxOBMF3by6992BnZf9TbMrFP/fjyvmfmk/fLLhdNIEB0eVadjWeEhF8sEDUJvBFgYXXT+TtjXGUv0s8kyGy0Udivh/E5z2MLnAY+Rk0eJrc1Y8RzHKNMbOTy5upT1qwkhGwLIGzXmnHFgnRMpluhasGI620DAlGLHowreo9kpxXf72WeB+0WtVmUWdRLfi8KUTysxqAWZ/7wWVZkcyR2FDrpghBbEBhLFGbBZ/voy7NLqtP5oSQSdBG1sKIAkvTSdVEplo+J5Y7Yz9GHYE8k0yzsFsJnczMdbTP0M4qpm5Yy1ChaLD7V/toFk8shhusy0L1ZMtqbvjMO3aqyLo0e+lt8u2jlmdS8o2ZAM9MKzHp4dq0FhT1MUZv4M/DYdNT7Yv0XGi/JwdMJabDPAdTMb8kyfe9myFvPgwL0fkkIiWj8Vv/lwHubhnLgZgHSfW5XCYTr9ihalEWHogxqthsZPK+jMG4tibNfPF4CD9BDwtdXYkDfiEqWraMbYmDer8IytE0wU6np+SIDY+wFM9+ITNdhrq2e8iS8Vtc5Mm4jXxPeHjjVmaiFpnzFt28/87Ogn2d6Eu4rFMZrZ5OvA3LDcxmx+n5cIkyZAqdYeOBconoKijaRbZSiXpy8h5NXya/uR4v9Lvb2LKxU/c/Z/y9W4VhwFRwxOX2ikxi2bp3/GlzpH94JRkS8KsNvz40wNfuUrLt3D4O4ALH73ws07Rx8l0VFN6huPN0dwsKVdCKPLLiMND4Dc3wX0MLgYoDzWSrZuqt/Dw1Qrf2F2/qvZt4lxmBmbwceLFJB+iCe8bg4OhWx+dxer4el5m9dKdlnDG39n374fPZM8faICeIFrgPws/xe2p3RQEskybjXObN6PZJNw+zhI+x64kfqT751eoG9hAdeDNC73iui4qZ3+44RS9+xmMUsv7URjooOtrghPN9ahiIf/3LT2Ju4EF48IMtCnY0Ye1Yetys7iYMj/KTHDoF1mMrVqkqlUKfuZDSwU3lxZTakbubEjGjSWNcEeDy8d7xZFZ6W0pCo+lQDBabwKe3z0jqpr3JUA==
Acha utapeli hakuna mtu atakuja umpige tenaWanangu wa halotel nichekini pm
Nisha download nishaconect lkn naona bando linaliwa tu km kawaida nifanyaje hapo ili kupta free Internet??? View attachment 2070002
Sijawahi kuelewa naomba msaadaNaunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapna kwa mwezi mzima unatumika siku 14 tuSijawahi kuelewa naomba msaada
Yani kila baada ya siku 14 unapewa gb6 sindio?
Means kwa siku 28 utapewa gb12
So ndani ya miezi6 gb si zitakua zimeisha muda wake au?
Kumbe ni mpigaji mkuuAcha utapeli hakuna mtu atakuja umpige tena
Mpigaji halafu mbishi kweli huyu falaKumbe ni mpigaji mkuu