Hizi mambo tumeanza kitambo sana henzi za webproxy,cproxy,PD proxy,Tunnel Guru, open vpn (NMD,VPNbook),Meteor vpn,Sandwich vpn,http injectior etc.
Kamanda
e2themiza alikuwa akitoa trick nyingi sana tena bure kabisa isipokuwa chache kama PD proxy zilikuwa za kulipia hela kidogo ya vocha,
Chief-Mkwawa ,
Mr Kicheko, @iskoskaz,
Biohazard hawa nao walitoa mchango mkubwa kupata free net bure kabisa kupitia webprox server, open vpn etc.
Wadau hawa wajuu hawakuwa wachoyo kutoa michongo kama hiyo ya hapo juu na Code kama zile za kubypass megabox ya tigo, ile ya kuunga net bila ya hela alafu unadeact then unaunga tena inakubali unlimited ya full speed for free au vocha ya jero tu mwezi mzima.
Kundi lingine ni la kina
Paje ,
munjy1,
Njunwa Wamavoko Mwl.RCT hawa walikuwa seller wa PDproxy,Tunnel guru,Meteor vpn, Sandwich vpn nk.
Mambo ya ujanja ujanja yalikuwa hayapo, mterezo wa free kina
Chief-Mkwawa walikuwa wanatoa bure na sellers walikuwa wakiuza zao afu trick zote zilikuwa ni za pc na speed ilikuwa tamu kweli japokuwa tulikuwa tupo 3G.
Wenye tamaa zao ndio walikuja kuharibu hizi mambo kwa kupeleka FB na kwingineko