Yuko vizuri nami kaniunga bila longolongoAiseee [mention]Mr kiuno [/mention] huyu ni mtu na nusu nampongeza kweli ameniunga kumbe watu wakweli wapo jamani huyu mtu ni muaminifu kupita kiasi mpaka anakupigia simu kukuuliza kama haujalidhika na huduma wakati tayari amekuhudumia vizuri narudia tena wewe ni mwamba na nikotayari kama kuna malalamiko juu yako kuhusu utapeli basi huyo mtu nimrudishie pesa yake mimi hadi sijaamini ulichonifanyia mkuu Ahsante sana.
Ukitaka ufanikiwe kuwa mwaminifu aisee ukiwa mwizi mwizi mafanikio utayasikia kwaakina Bakhresa na Mo tu.Kabisa Mkuu. ndiyo sifa ya mafanikio ni uaminifu.
Yuko vizuri nami kaniunga bila longolongo
Kwa shingapi?
28Hili swali nimeuliza sana na hajalijibu, akikujibu nishtue
VodacomNasubiri voda
Kwa sisi wa halotel vip??Vodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month Pre-paid
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sina upande wa halotel mkuuKwa sisi wa halotel vip??
AmejibuHili swali nimeuliza sana na hajalijibu, akikujibu nishtue
Mkuu inaonekana mwamba hasonagi sms za nyuma aiseeAmejibu
Nimekuelewa mkuu kuwa na amanSema sms ni nyingi
Mkuu hiki bado kipo nataka nije inbox?Vodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month Pre-paid
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukipenda vya bure utakuja olewa toa hela acha kupenda vya ofa.Hutoagi offer mkuu unganishia hata watu wanne bure wapate dakika za kudaia madeni ya january😂