mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,085
- 1,780
Yuko vizuri nami kaniunga bila longolongoAiseee [mention]Mr kiuno [/mention] huyu ni mtu na nusu nampongeza kweli ameniunga kumbe watu wakweli wapo jamani huyu mtu ni muaminifu kupita kiasi mpaka anakupigia simu kukuuliza kama haujalidhika na huduma wakati tayari amekuhudumia vizuri narudia tena wewe ni mwamba na nikotayari kama kuna malalamiko juu yako kuhusu utapeli basi huyo mtu nimrudishie pesa yake mimi hadi sijaamini ulichonifanyia mkuu Ahsante sana.