Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Jamani ulizeni maswali hapa hapa KUHUSU EC TUNNEL PRO.

Kitu naelekeza hapa halafu nafuatwa na watu mia huko pm kuulizwa kinatumikaje😂😂😂

Ukija PM UNALIPIA 500 Ya bando😃😃😃
Mbona ku add time inagoma?
 
Jamani ulizeni maswali hapa hapa KUHUSU EC TUNNEL PRO.

Kitu naelekeza hapa halafu nafuatwa na watu mia huko pm kuulizwa kinatumikaje[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukija PM UNALIPIA 500 Ya bando[emoji2][emoji2][emoji2]
Boss mbona mi inaishia apo,nakosea wapi
 
Jomba ahsante sana ,wiki nzima natamba insta ,wasap ,Jf na YouTube free kwa hiyo app inafanya mpk nalala mida mibovu kitu haikwami .
 
Mwanzo mgumu ,siku ya kwanza ilinipa tabu nikakaa kama siku mbili nikaseti kwa umakini ikakubali sasa napeta
 
Nadhan tigo wanafanya kazi usiku na mchana kukomesha hii...!!
 
Jamani ulizeni maswali hapa hapa KUHUSU EC TUNNEL PRO.

Kitu naelekeza hapa halafu nafuatwa na watu mia huko pm kuulizwa kinatumikaje[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukija PM UNALIPIA 500 Ya bando[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa voda inagoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…