Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwa hiyo tufanyeje?
 
Kwamba ni illegal izo app zinaibwa ofisi za tigo au vipi yani? Kizuri kula na mwenzako.Hayo maswala ya kubuma achana nayo.Yakibuma Sio kwamba maisha ndo yatasimama.Kwani kabla ya hayo ma VPN tuliishije? Wewe share upendo acha uchoyo.Tusiwe tuna share TU vipisi vya sigara mtaani Kwa target tufe pamoja Kwa kifua kikuu hata ivi vibando vya bure navyo itakuwa poa.Kwanini wabongo tunapenda tunufaike wenyewe na siyo kama kundi???
 
Daaah Shusheni FREE INTERNET KWA LAINI ZA VODACOM MWENYE KUJUUA TAFADHALI
 
Nakazia
 
Mbona m nimeunga na bado mb zangu zinaendeleaa kuliwa..za kwenye tigo
 
Wakuu hizi mambo zinakubali kwenye iphone?
 
Inawezekana mkuu maana hizi app ziko play store.

naamini pia zitapatikana wa watumiaji wa ios.

search ec tunnel pro na sky vpn.

ukishindwa kabisa nicheki incharge wa hizi vitu nikusaidie
Nmedownload ec tunel pro, nikawasha data tigo internet haiendi, msaada
 
Hivi pd proxy au vpn nyingine za style hiyo zinapatikana? Zamani nilipeta sana na pd proxy ilikuwa nanunua kwa mwezi.
 
Nmedownload ec tunel pro, nikawasha data tigo internet haiendi, msaada
Hujasema kama uliiwasha au la!

kama hujawasha basi fungua kisha bonyeza hio button nyekundu mara 1 kisha utaona inawaka kwenda kijani
 
Mkuu bado nipo gizani naomba muongozo
Najuaje kama nimefanikiwa kuunganishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…