Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyu kenge ni kumkamata, piga mboko za matako zisizo na idadi, halafu mnamuacha aende na amani ya bwana
Nakumbuka kipindi kile serikali inagawa madaftari Bure kwa wanafunzi wa shule Za Msingi,Kuna jamaa lilizidishiwa daftari likasema mwalimu umenipa madaftari manne badala ya matatu
Yaani sisi watu weusi pamoja na kuelimika na kustaarabika lakini bado kuna mahala ktk brain yetu kuna tatizo.
 
Mimi sina roho mbaya ila mambo kama haya ya VPN ukishare na wabongo au public basi tegemeeni kupigwa pini faster.
Kulikuwa na ile stark VPN ilikuwa ni kuteleza daily mb600 tena niikuwa nakimbiza kwa pc full speed, lakini kuna watu wakaanza kuuza na kuna mwingine kaenda kuwaatarifu kabisa wahusika mwishowe wote tukafungiwa mlango kwa nje.

Sometimes ni bora kufuatana pm kwa mwenye shida na kucheza nyuma ya public servers ile kininja full stealth watashangaa kuna mashambulizi lakini wasijue yanatokea wapi na kama kufunga itachukua muda.

Mfano ona huyo jamaa eson jeremy kaenda direct kuwauliza tigo maswala ya huduma za VPN wakati ni wazi hizo vpn ni illegal, dude?
 
Niliwaambia wakaniona mchawi, watu wanaendekeza njaa eti sadaka!!!
Mjue kuna wakongwe humu kina Chief-Mkwawa , Mwl.RCT , Paje, Mr Kicheko na wengine wanazijua vpn nje ndani walikaa kimya tu wakiwaangalia jinsi mlivyokuwa mkijimwambafy.
Tulijua kabisa hii Fast DNS haitochukua round kwa jinsi mlivyokuwa mkifanya vurugu.
Vpn siyo za kutafutia follower/ subscribe youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…