Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ukute anaitumia skyvpn ila kajifanya hajui ili waanze kumuuliza[emoji1787] Kuna watu hawajielewi.
[emoji28] Una omba bangi kituo cha polisi maana sigara haileti stimu... [emoji13]
Nakumbuka kipindi kile serikali inagawa madaftari Bure kwa wanafunzi wa shule Za Msingi,Kuna jamaa lilizidishiwa daftari likasema mwalimu umenipa madaftari manne badala ya matatu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyu kenge ni kumkamata, piga mboko za matako zisizo na idadi, halafu mnamuacha aende na amani ya bwana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakuu nipeni njia ya kutumia internet bure
Watu kama hawa walibidi wawe front line Ukraine.Oneni lingine hiliView attachment 2170427
Ndugu habari? naomba unisaidie file la ttclKama unataka file la TTCL 06:00-9:00 am ni la kudumu HA tunnel njoo pm ni bure
Unanicheka mkuu [emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Niliwaambia wakaniona mchawi, watu wanaendekeza njaa eti sadaka!!!Mimi sina roho mbaya ila mambo kama haya ya VPN ukishare na wabongo au public basi tegemeeni kupigwa pini faster.
Kulikuwa na ile stark VPN ilikuwa ni kuteleza daily mb600 tena niikuwa nakimbiza kwa pc full speed, lakini kuna watu wakaanza kuuza na kuna mwingine kaenda kuwaatarifu kabisa wahusika mwishowe wote tukafungiwa mlango kwa nje.
Sometimes ni bora kufuatana pm kwa mwenye shida na kucheza nyuma ya public servers ile kininja full stealth watashangaa kuna mashambulizi lakini wasijue yanatokea wapi na kama kufunga itachukua muda.
Mfano ona huyo jamaa eson jeremy kaenda direct kuwauliza tigo maswala ya huduma za VPN wakati ni wazi hizo vpn ni illegal, dude?
BitVPN inakubaali ukiiweka Japan au UK Ila net kuipata lazima uwe mvumilivu kidogo.
View attachment 2171508
Hata ukiwa huna Bandle inafanya kazi??BitVPN inakubaali ukiiweka Japan au UK Ila net kuipata lazima uwe mvumilivu kidogo.
View attachment 2171508
TigoHata ukiwa huna Bandle inafanya kazi??
Maana hizi. Zi zingine hazifunguki kwa line ambayo haina bandle..
Na inatumia line gani??[emoji120][emoji120]
Thanks[emoji7]Tigo
Google APK yake utaipataUnaitoa wapi hii