Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wabongo hawafai, nikiikumbuka Stark vpn napata mpaka hasira, miaka mitatu tulikuwa tunainjoi mwendo ni kimya kimya, kuna kundi hapa duniani limeumbwa lisijue siri zozote ( kinachoendelea) maana fridge hazigandishi
Samahani kaka naomba kujua hiyo stark vpn ulikuwa ukiitumia bure bila kununua bundle unaingia mtandaoni au inakuwaje?
 
Hakuna tena ujanja ujanja wa Vpn[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

lipieni mabando tu sihitaji mtu pm nimetoa elfu 30 mwaka mzima[emoji19][emoji19]View attachment 2177525
Kwangu Mimi inakamata ila Hadi uwe na mb kwenye line yako mb zikiisha inajidisconnect, hakika Hawa Tigo wametuweza
 
Kama ni mpaka uwe na MBs inakuwa haijakusaidia
Kabisa mkuu yaani zikiisha tuu kile kifunguo kinatoweka ingawa wanabalance yaani zangu na zavpn zinatumika, ila nashangaa Sana wakati app ni yawazungu chaajabu wanabana na mbs wanaotoa ni wazungu wao Tigo wanabana pia wao wenyewe wanaweka matangazo yao
 
Ni mtandao wa Tigo mkuu.

unalipa tu unaungwa kwa mwaka mzima.

kifurushi kinadumu kwa wiki 2 kati ya 4 kwa mwezi. Kisha kinajiunga siku ile ulipounganishwa.

Ni hayo[emoji120][emoji120][emoji120]
Huyo wa kuniunga ndo nani, Malipo ni B4 ama After....kwa kifupi Mchongo umevutia nielekeze sasa namna ya kuungwa
 
Ni mtandao wa Tigo mkuu.

unalipa tu unaungwa kwa mwaka mzima.

kifurushi kinadumu kwa wiki 2 kati ya 4 kwa mwezi. Kisha kinajiunga siku ile ulipounganishwa.

Ni hayo[emoji120][emoji120][emoji120]
Tigo wakistuka na wakitoa hizo code je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…