msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Jichanganye sasa umeisha,[emoji116]View attachment 2176395
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jichanganye sasa umeisha,[emoji116]View attachment 2176395
Tena ni tapeli haswa watu wamkwepe asije waingiza mtegoni japo wajinga huwa hatukosekaniWewe ni tapeli.
Samahani kaka naomba kujua hiyo stark vpn ulikuwa ukiitumia bure bila kununua bundle unaingia mtandaoni au inakuwaje?Wabongo hawafai, nikiikumbuka Stark vpn napata mpaka hasira, miaka mitatu tulikuwa tunainjoi mwendo ni kimya kimya, kuna kundi hapa duniani limeumbwa lisijue siri zozote ( kinachoendelea) maana fridge hazigandishi
Samahani kaka naomba kujua hiyo stark vpn ulikuwa ukiitumia bure bila kununua bundle unaingia mtandaoni au inakuwaje?
Mwambie mjadili vifurushi tu..😂Zama zilishapitwa tujadili mambo mengine
Weka hizo codes basi sio kulaumu tuWameaharibu Uzi sana hawa, kuna vifurushi visivyo rasmi na codes mbalimbali zina mb za kutosha kuliko upupu wao wa VPN, nashauri waanzishe Uzi wao maalumu wa vpn
Kwangu Mimi inakamata ila Hadi uwe na mb kwenye line yako mb zikiisha inajidisconnect, hakika Hawa Tigo wametuwezaHakuna tena ujanja ujanja wa Vpn[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
lipieni mabando tu sihitaji mtu pm nimetoa elfu 30 mwaka mzima[emoji19][emoji19]View attachment 2177525
Kama ni mpaka uwe na MBs inakuwa haijakusaidiaKwangu Mimi inakamata ila Hadi uwe na mb kwenye line yako mb zikiisha inajidisconnect, hakika Hawa Tigo wametuweza
Kwahiyo kila mwezi unakula GB 6Hakuna tena ujanja ujanja wa Vpn[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
lipieni mabando tu sihitaji mtu pm nimetoa elfu 30 mwaka mzima[emoji19][emoji19]View attachment 2177525
Kabisa mkuu yaani zikiisha tuu kile kifunguo kinatoweka ingawa wanabalance yaani zangu na zavpn zinatumika, ila nashangaa Sana wakati app ni yawazungu chaajabu wanabana na mbs wanaotoa ni wazungu wao Tigo wanabana pia wao wenyewe wanaweka matangazo yaoKama ni mpaka uwe na MBs inakuwa haijakusaidia
Mkuu umesahau kufuta namba Juu pale kwenye screenshot bado inaonekanaHakuna tena ujanja ujanja wa Vpn🤣🤣😅😅😂😂🙏🙏🙏🙏🙏
lipieni mabando tu sihitaji mtu pm nimetoa elfu 30 mwaka mzima😒😒View attachment 2177525
Nusu mwezi mkuu. Yani kila baada ya wiki 2Kwahiyo kila mwezi unakula GB 6
Mtandao gani???Nusu mwezi mkuu. Yani kila baada ya wiki 2
Ule ule uliokuwa na mseleleko wa sky vpnMtandao gani???
Nipe huo mchongo chiefUle ule uliokuwa na mseleleko wa sky vpn
Ni mtandao wa Tigo mkuu.Nipe huo mchongo chief
Huyo wa kuniunga ndo nani, Malipo ni B4 ama After....kwa kifupi Mchongo umevutia nielekeze sasa namna ya kuungwaNi mtandao wa Tigo mkuu.
unalipa tu unaungwa kwa mwaka mzima.
kifurushi kinadumu kwa wiki 2 kati ya 4 kwa mwezi. Kisha kinajiunga siku ile ulipounganishwa.
Ni hayo[emoji120][emoji120][emoji120]
Tigo wakistuka na wakitoa hizo code je?Ni mtandao wa Tigo mkuu.
unalipa tu unaungwa kwa mwaka mzima.
kifurushi kinadumu kwa wiki 2 kati ya 4 kwa mwezi. Kisha kinajiunga siku ile ulipounganishwa.
Ni hayo[emoji120][emoji120][emoji120]
🤣🤣🤣🤣 Kajikuta mjanja kumbe bado hajawa making.. na maspy washanote namba kazi anayo.. hapo hakuna Cha anonymous hata nnMkuu umesahau kufuta namba Juu pale kwenye screenshot bado inaonekana