Hizi zipo open wanazifahamu wenyewe, ni tofauti na mb za VPN ambazo ni mselelekoTigo wakistuka na wakitoa hizo code je?
Unajikutaga mjanja mkuu๐ ๐ ๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Kajikuta mjanja kumbe bado hajawa making.. na maspy washanote namba kazi anayo.. hapo hakuna Cha anonymous hata nn
Naelewa mkuu, Ila issue kubwa ilikuwa ifiche namba yako Ila ukajikologa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUnajikutaga mjanja mkuu๐ ๐ ๐๐
hizo mbona ni biashara halali kabisa unalipia tigo huko
sio kila kitu ni wizi
View attachment 2177699
Mkuu kujikoroga in which way wakati mimi ni marketing officer wa hilo bundle.Naelewa mkuu, Ila issue kubwa ilikuwa ifiche namba yako Ila ukajikologa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Inabidi tuongee master [emoji23][emoji23] mambo magumu sana.Mkuu kujikoroga in which way wakati mimi ni marketing officer wa hilo bundle.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
let
Naomba unisaidie hapaHizi zipo open wanazifahamu wenyewe, ni tofauti na mb za VPN ambazo ni mseleleko
Kuna jamaa anauza humu humu yupo, angalia post za nyuma utamuona, mi nimemsahau jinaNaomba unisaidie hapa
Mm sizijui ila akina mkwawa walikuwa wanaziweka sana humu , watoto wa vpn wamekuja kujaza pages mpaka uzi umepoteza ladhaWeka hizo codes basi sio kulaumu tu
Kuwa makiniInabidi tuongee master [emoji23][emoji23] mambo magumu sana.
Hahaha sawa mkuu.Kuwa makini
Dah suala la vpn limekuuma sana mkuu๐๐๐Mm sizijui ila akina mkwawa walikuwa wanaziweka sana humu , watoto wa vpn wamekuja kujaza pages mpaka uzi umepoteza ladha
[emoji13] yatafute mengine uyalete maana yote ni mavifurushi yasiyo rasmi kama jina la thread lilivyo.[emoji28]Dah suala la vpn limekuuma sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
hebu tengeneza juice ya arovera na pilipili kichaa upoze machungu.
kwa Taarifa yako.mimi ndio niliwasanua wadau kuhusu hayo ma vpn...
na nilipata umaarufu kishenz[emoji41][emoji41]
Leteni sadaka kwanza nyie acheni hizo[emoji13] yatafute mengine uyalete maana yote ni mavifurushi yasiyo rasmi kama jina la thread lilivyo.[emoji28]
mbona mserereko upo bado tuna injoy na vpn
Mbona hamsemi mabando ya kawaida๐ ๐ ๐๐๐mbona mserereko upo bado tuna injoy na vpn
Unafanyaje mkuu kupata hii hudumaMbona hamsemi mabando ya kawaida[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2178712
Kwangu siwazi vpn tena, ila nikiipata nakiwasha hapa hapa tufe wote[emoji41][emoji41][emoji41]
Zinauzwa gizani? Maana hazionekaniLeteni sadaka kwanza nyie acheni hizo
vpn zipo za kununua sasa hivi[emoji23]
Hongera ndugu msanuaji, hizo VPN tunatumia tangu kitambo sana, ila ni kimya kimya, issue yenyewe ni kinyume cha sheria then una expose mpaka namba za simu eti sadaka WTFDah suala la vpn limekuuma sana mkuu๐๐๐
hebu tengeneza juice ya arovera na pilipili kichaa upoze machungu.
kwa Taarifa yako.mimi ndio niliwasanua wadau kuhusu hayo ma vpn...
na nilipata umaarufu kishenz๐๐