Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

🤣🤣🤣🤣 Kajikuta mjanja kumbe bado hajawa making.. na maspy washanote namba kazi anayo.. hapo hakuna Cha anonymous hata nn
Unajikutaga mjanja mkuu😅😅😂😂
hizo mbona ni biashara halali kabisa unalipia tigo huko

sio kila kitu ni wizi
Screenshot_20220406-131649.png
 
Mkuu kujikoroga in which way wakati mimi ni marketing officer wa hilo bundle.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

let
Inabidi tuongee master [emoji23][emoji23] mambo magumu sana.
 
Mm sizijui ila akina mkwawa walikuwa wanaziweka sana humu , watoto wa vpn wamekuja kujaza pages mpaka uzi umepoteza ladha
Dah suala la vpn limekuuma sana mkuu😂😂😂

hebu tengeneza juice ya arovera na pilipili kichaa upoze machungu.

kwa Taarifa yako.mimi ndio niliwasanua wadau kuhusu hayo ma vpn...

na nilipata umaarufu kishenz😎😎
 
Dah suala la vpn limekuuma sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]

hebu tengeneza juice ya arovera na pilipili kichaa upoze machungu.

kwa Taarifa yako.mimi ndio niliwasanua wadau kuhusu hayo ma vpn...

na nilipata umaarufu kishenz[emoji41][emoji41]
[emoji13] yatafute mengine uyalete maana yote ni mavifurushi yasiyo rasmi kama jina la thread lilivyo.[emoji28]
 
Taarifa kwa umma ..

Uongozi wa Team Vpn wa Jf unapenda kuwa taarifu kuwa unafanya kazi changamoto zilizotokea na upo Ktk hatua za mwisho kuja na machimbo mapya ya Vpn ,wadau wote wa Vpn nawapa taarifa njema kuwa wakae mkao wa kula kwani tupo katika hatua majaribio na zinakwenda vizuri #Tuwe Pamoja Ktk kipindi hiki kigumu#MaaduiNiWengi.

A. adriz
Katibu Mkuu
Makao makuu Dom
 
Dah suala la vpn limekuuma sana mkuu😂😂😂

hebu tengeneza juice ya arovera na pilipili kichaa upoze machungu.

kwa Taarifa yako.mimi ndio niliwasanua wadau kuhusu hayo ma vpn...

na nilipata umaarufu kishenz😎😎
Hongera ndugu msanuaji, hizo VPN tunatumia tangu kitambo sana, ila ni kimya kimya, issue yenyewe ni kinyume cha sheria then una expose mpaka namba za simu eti sadaka WTF
 
Back
Top Bottom