Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

mkuu situmii utorrent au bit torrent au torrent client yoyote . natumia tu hiyo site ambayo ni direct download inadownload moja kwa moja..na IDM ikiwa integrated inakua safi zaidi
Mkuu natafuta setup ya idm ambayo haina expiration
 
Hiyo ni slow DNS haiwezi kuwa fast.
Kuna wadau humu wanajitoa fahamu na kujidai eti wanapeta wakati vpn zote zinazopiga mzigo Tz ni slow DNS hata ulipie your freedom nayo inapita mulemule
Mbona SKYVPN ilikuwa faster, Acha ujuaji Sana na roho mbaya. Inakuuma ukiona watu wanafaidika.

Sijaona kitu chako chochote positive kwenye huu Uzi zaidi ya kujifanya mjuaji na kuleta roho mbaya zako. Kama wewe hazikufaidishi waache ambao zinawafaidisha wengine wanaridhika hivyo hivyo.Roho mbaya bana.
 
Kuwa muelewa SKY ni fast DNS kama ilivyokuwa NIC vpn, Tunnel cat, vpn force,High vpn etc protocol ambayo imeblockwa na tigo imebaki slow Dns ambayo max speed haizidi 500Kbps
 
Kuwa muelewa SKY ni fast DNS kama ilivyokuwa NIC vpn, Tunnel cat, vpn force,High vpn etc protocol ambayo imeblockwa na tigo imebaki slow Dns ambayo max speed haizidi 500Kbps

Sasa mbona hapo uliandika VPN zote bongo ni slow DNS? Sometimes Bora unyamaze Tu kuliko kuandika vitu tofauti tofauti
 
Sasa mbona hapo uliandika VPN zote bongo ni slow DNS? Sometimes Bora unyamaze Tu kuliko kuandika vitu tofauti tofati

Sasa mbona hapo uliandika VPN zote bongo ni slow DNS? Sometimes Bora unyamaze Tu kuliko kuandika vitu tofauti tofauti
View attachment 2204455
Hujielewi!!!
Kwa sasa hakuna Fast DNS inayopiga mzigo zaidi ya slow DNS hicho ndicho nilichomaanisha.
Kina Eltawfiq, Ec tunnel,Utloop, nazile za kucreate file kama Napsternet, SBR injector,open tunnei, http custom zote protocol inayopiga mzigo ni Slow DNS kasoro kile cha Asubuhi ndio V2RAY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…