donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Nenda ofisi za tigo au kwa mawakala wa tigo mkuuEbhana hiii nimeikubali unajiungaje naitamani sana ili niweze kujiachia
Kwa nini usitoe 45k 30GB unlimited kuliko hicho cha mweziWakubwa, hivi vifurushi hususani vya tigo no Bora other dealers muwaweke wazi watu kwamba ni within 14days kwa kila mwezi. Na pia vile vya free calls kwa sasa vina mushkeli. Ni Bora ujitusu tu ulipie 25k kila mwezi kwa postpaid ulambe 30GB hakuna namna View attachment 2206823
30GB unlimitedKwa nini usitoe 45k 30GB unlimited kuliko hicho cha mwezi
Hapa unlimited kwenye muda ila GB zile zile 30.......30GB unlimited
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unlimited na umeshapewa limit ya data bundle.....?!Kwa nini usitoe 45k 30GB unlimited kuliko hicho cha mwezi
Ww ndio umenifungua!nilikua nashangaa sana na alieniunga mara kadhaa nimekua nikimwambia hili anajifanya haelewi!Wakubwa, hivi vifurushi hususani vya tigo no Bora other dealers muwaweke wazi watu kwamba ni within 14days kwa kila mwezi. Na pia vile vya free calls kwa sasa vina mushkeli. Ni Bora ujitusu tu ulipie 25k kila mwezi kwa postpaid ulambe 30GB hakuna namna View attachment 2206823
Ni sahihi mkuuKwa nini usitoe 45k 30GB unlimited kuliko hicho cha mwezi
Mkuu cha Vodacom kipo mb?Wakubwa, hivi vifurushi hususani vya tigo no Bora other dealers muwaweke wazi watu kwamba ni within 14days kwa kila mwezi. Na pia vile vya free calls kwa sasa vina mushkeli. Ni Bora ujitusu tu ulipie 25k kila mwezi kwa postpaid ulambe 30GB hakuna namna View attachment 2206823
Kwa sasa hapana mkuuMkuu cha Vodacom kipo mb?
Elewa kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unlimited na umeshapewa limit ya data bundle.....?!
Mkuu slow dns mnaitumiaje nitoe ushamba kidogo ndugu yanguHujielewi!!!
Kwa sasa hakuna Fast DNS inayopiga mzigo zaidi ya slow DNS hicho ndicho nilichomaanisha.
Kina Eltawfiq, Ec tunnel,Utloop, nazile za kucreate file kama Napsternet, SBR injector,open tunnei, http custom zote protocol inayopiga mzigo ni Slow DNS kasoro kile cha Asubuhi ndio V2RAY
Mkuu slow dns mnaitumiaje nitoe ushamba kidogo ndugu yangu
Nimekoma,rahisi gharamaWatoa huduma watatroll na kuwapooza kwa id mpya[emoji23]
Oy wire inafanyaje kazi wengine inatufaa hata kma ipo slow tupe maujanjaIyo ni kuchekecha nchi tu, Ila iko vizuri sana usiku kwa wale wakudowload mavitu inasaidia pia
Around 6700 MBMsaada mwenye ttcl bufee pack imekaaje ni gb ngapi kwa elfu kumi
Bila dakika or ,bora nisake royal ilioshiba tu ukiachan na ile ya gb6na madakika hali bado tete sanaAround 6700 MB