Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kizuri kula na wenzako ila hapa leo nipo peke yangu nipe ujuzi na mm nije niwashukuru
Kinifurahishacho hapa JF, member wake hatutupani kama WAVUTA SIGARA. Jamaa anakutana na mtu anavuta sigara, walaa hamfahamu, wakati mwingine, bila hata kumsalimia, atamuomba hiyo sigara iliyopo mdomoni, na mvutaji, bila hata hiana, atamuachia!
 
Mkuu tuletee na vifurushi vyakuanzia elfu tano nakupanda , haya mavifurushi ya bei gari , kumbuka tupo katika matabaka .
 

Hii huduma imeshaanza kiongozi...?
 

Kiongozi tarehe 18/06/2022 ulisema utaanza kutoa hii huduma, ila leo ni tarehe 22 lakini hujaleta feedback yoyote.

Na hata tunakuuliza lakini hujibu chochote ndugu tukueleweje...?
 
TTCL hatukati bando lako tumia mpaka umalize mwenyewe. hamna kikomo cha Muda

Gb15 kwa 20k
Gb30 kwa 30k
Gb50 kwa 50k
Gb70 kwa 60k
Gb90 kwa 80k
Gb120 kwa 90k
Gb150 kwa 100k
( Kila ofa ina dakika 700 za mitandao yote na SMS 1000 kwa mwaka1)
Pre paid au
 

Mkuu bado unaunga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…