Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

TTCL hatukati bando lako tumia mpaka umalize mwenyewe. hamna kikomo cha Muda

Gb15 kwa 20k
Gb30 kwa 30k
Gb50 kwa 50k
Gb70 kwa 60k
Gb90 kwa 80k
Gb120 kwa 90k
Gb150 kwa 100k
( Kila ofa ina dakika 700 za mitandao yote na SMS 1000 kwa mwaka1)
Mkuu hizi GB ni hizo bei kila mwezi au once?
 
TTCL hatukati bando lako tumia mpaka umalize mwenyewe. hamna kikomo cha Muda

Gb15 kwa 20k
Gb30 kwa 30k
Gb50 kwa 50k
Gb70 kwa 60k
Gb90 kwa 80k
Gb120 kwa 90k
Gb150 kwa 100k
( Kila ofa ina dakika 700 za mitandao yote na SMS 1000 kwa mwaka1)
Hicho cha 30k ndio mpango mzima ngoja nikasajiri ttcl leo
 
Kuna pre paid Line za airtel zinapatikana Moshi 10k Gb 40 Kwa mwez nlishatumia mara mbili ,Sema Kuzipata kunahitaji Connection ,ambaye anazijua aje inbox atusaidie tupate wengne
Hizo laini za Airtel bado unazo
 
Kuna pre paid Line za airtel zinapatikana Moshi 10k Gb 40 Kwa mwez nlishatumia mara mbili ,Sema Kuzipata kunahitaji Connection ,ambaye anazijua aje inbox atusaidie tupate wengne
Naomba niulize hizo prepaid sim card ndio zinatumikaje au ufanya kazi wake ni tofauti na hizi za kawaida.
 
Hivi wadau siku hizi hamna vifurushi vya usiku kwenye hii mitandao ya simu
 
VODACOM PACKAGE

SIKU YA KUUNGA ITATANGAZWA SIO MUDA

NB.VIFURUSHI VYOTE NI VYA MWEZI MMOJA TU.

1.Pata GB 16 Kwa Tsh.20,000.

2.Pata GB 7 & Dk 1200{ Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.20,000.

3.Pata GB 32 Kwa Tsh.40,000.

4.Pata GB 23 & Dk 1200{Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.40,000.

5.Pata GB 14 & Dk 2400{Yote}+Sms 1000 Kwa Tsh.40,000.

6.Pata GB 48 Kwa Tsh.60,000.

7.Pata GB 39 & Dk 1200{Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.60,000.

8.Pata GB 21 & Dk 3600{Yote}+Sms 1500 Kwa Tsh.60,000.

Nb.Pia Gb 64, Gb 80,Gb 96 & Gb 112 Na Kuendelea Zinapatikana..Lakini Kila GB 16 ni Tsh.20,000.

NB:Tuma namba Mapema, Tar 10 Tunaunga baada ya hapo Tutaunga tena mwezi wa 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…