Ndio kwa 1000 mb 666. Yeye ana mb 1000000.Kwamba sh ngapi?
Wanazingua parefu awaBufee kwisha.[emoji26][emoji26]
View attachment 2333749
Bei kuzidi hata Tigo na Voda. Hawapo serious hawa.Wanazingua parefu awa
Hiv hiz apps zisizotumia bando ni kwamba zimetengenezwa ziwe hivyo?? Au wamiliki wamekaa chini na tcra?Nimecheki Bufee according to TTCL inaji accumulate kila ukiunga, assume mtu si mtumiaji sana wa MB ana anaunga kifurushi kila siku ama wiki baada miezi kadhaa atakua na hizo GB.
Inategemea na app, zinstumia tu upenyo, na Tcra haihusiki.Hiv hiz apps zisizotumia bando ni kwamba zimetengenezwa ziwe hivyo?? Au wamiliki wamekaa chini na tcra?
Hii jana ilinisumbua sana hadi nikiwa na restart simu au kuweka Airplane mode na kutoa mara kwa maraWakuu Leo network ya Voda mbona ipo hovyo hivi,au kwangu tu
Ukipata majibu naomba nishtue na mmNimesubiria Sana ujibiwe na Mimi nichukue madini Ila watu kimya.
Ni rahisi sana ngoja nije nikuelekezeNineshindwa kujiunga
1.DOWNLOAD HIYO ATTACHMENT (IF KAMA BADO ) YA THROID DROID VPN ILIYOPOSTIA KWENYE UZI HUUNineshindwa kujiunga
Usipo elewa semaNineshindwa kujiunga
Broo naomba koneksheni nmechoka kupigwaToa hii hapa utachoma
Nenda costech userebuke bure tuuHivi nikienda internet cafe za mamlaka ya posta na pc yangu watanichaji ngapi kwa saa nzima? Naona kama hiyo ndiyo option niliyobakiza
Kila nikiconect wananiambia " Engine local socket bind"Sooooo simple
Usipo elewa sema
Hata mm mara moja moja inanileteaga hivyo , weee chakufanya Badili server chukua zile za THROID ziko pale kwenye UDP iliyopo front page , then continue connect to startKila nikiconect wananiambia " Engine local socket bind"
Msaada mkuu
Ipo slow sana sijui uko upande wenu vipiHata mm mara moja moja inanileteaga hivyo , weee chakufanya Badili server chukua zile za THROID ziko pale kwenye UDP iliyopo front page , then continue connect to start
Mna mshahara gani nyie? Eti JF kila mtu ni Good Life!!!VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE
Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi
Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi
For more information
Please check me [emoji338]0744355811
Una mawazo finyu sanaMna mshahara gani nyie? Eti JF kila mtu ni Good Life!!!