Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Bufee kwisha.😥😥
Screenshot_20220824-195151_Phone.jpg
 
Nimecheki Bufee according to TTCL inaji accumulate kila ukiunga, assume mtu si mtumiaji sana wa MB ana anaunga kifurushi kila siku ama wiki baada miezi kadhaa atakua na hizo GB.
Hiv hiz apps zisizotumia bando ni kwamba zimetengenezwa ziwe hivyo?? Au wamiliki wamekaa chini na tcra?
 
Nineshindwa kujiunga
1.DOWNLOAD HIYO ATTACHMENT (IF KAMA BADO ) YA THROID DROID VPN ILIYOPOSTIA KWENYE UZI HUU

2.UKISHAMALIZA. INSTALL , OPEN , THEN KWENYE DASHBOARD /HOME SCREEN YA HIYO APK KUNA PART YA SIGN UP FOR FREE CLICK HAPO ITAKUPELEKA UFUNGUE ACCOUNT KWA EMAIL , UTATUMIWA. EMAIL NA DROID VPN YENYE ACTIVATION LINK THE CONFIRM HUKO KWENYE EMAIL ULIYOTUMIWA KWA KU CLICK ACTIVATION URL hapo then account yako itakiwa tayari ..

3.FUNGUA HIYO ACCOUNT KWA KUTUMIA EMAIL AMBAYO UTATUMIWA CONFIRMATION LINK

4.BACK TO THROID , JUU UPANDEE WA KUSHOTO KWAKO KUNA VI DOTI VITATU , CLICK , THEN NENDA SETTING , THEN NENDA. UDP SETTING , HAPO UDP SETTING. UTAJAZA KWA DESIGN HII.
REMOTE UDP JAZA 53 , LOCAL UDP JAZA 0 , PART MBILI ZINAZOFUATIA ZIWEKE ON , UDP CONNECTION MODE JAZA MODE 1 , MAX T COUNT VALUE JAZA 2222 . R COUNT JAZA 03 , THEN. NENDA LOG IN KWENYE DASHBOARD YA THROID , LOG IN NA ILE USERNAME PLUS PASSCODE , THEN SAVE THEN CONNECT TO START..
 
Kila nikiconect wananiambia " Engine local socket bind"

Msaada mkuu
Hata mm mara moja moja inanileteaga hivyo , weee chakufanya Badili server chukua zile za THROID ziko pale kwenye UDP iliyopo front page , then continue connect to start
 
Hata mm mara moja moja inanileteaga hivyo , weee chakufanya Badili server chukua zile za THROID ziko pale kwenye UDP iliyopo front page , then continue connect to start
Ipo slow sana sijui uko upande wenu vipi
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
 
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
Mna mshahara gani nyie? Eti JF kila mtu ni Good Life!!!
 
Back
Top Bottom