Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu ipi sahihi kati ya hizi?
 
Ni apk ngoja nakutumia inbox ,maana imeshapostiwa humu , weee cha kufanya i download then install na kiweka hizo setting
Sema mzigo haupo stable aisee, Ina disconnected every few minutes, Kuna namna ya kufix?
 
Hii offer nimeikosa kizembe sana dah!!
 
Mkuu we unapata Mbs ngapi kwa siku mkuu au ume settings vipi,
Account mbili nilifungua , kila account nili ongeza 100 MB mia maana kuna kipengele cha ku9ngeza. MB. Soo kwa siku ni MB 600 total setting , pale kwenye R Tcount huwa naweka 2222 , au 4444 au 6666. Depend na network responding
 
Vodacom wamezindua 5G ,Sisi wenye 4G tutaweza kutumia hiyo?
Huwezi. Na nimesoma maelezo ya Nape wanazindua kwa ajili ya small na Medium Enterprises pengine itaanza kama Smile kutarget Biashara kwanza.

5G ina coverage ndogo sana usitegemee maajabu ya 5G nchi nzima, utapata tu maeneo fulani fulani.
 
Naomba maelekezo mkuu
Inabidi uende tiGO shop ili ukasaini mkataba. Hii ni huduma ya malipo baada ya kutumia data. Kifurushi cha chini kabisa ni GB 30 kwa 25,000/- kinachodumu mwezi mmoja. Ukijiunga utatakiwa kutimiza mkataba walau kwa miezi sita ndipo kama una haja ya kujitoa utaweza kufanya hivyo. Kifurushi kinawekwa tarehe 1 ya kila mwezi saa sita usiku. Mkataba una uhai wa miaka miwili kupitia offer hii. Kwa mujibu wa maelezo ya customer care ni kwamba ofa imemalizika jana, lakini unaweza kuwatafuta kuona kama wameongeza muda.

Pia unaruhusiwa kubadili kifurushi ukiwa ndani ya mkataba, mfano GB 65 kwa 50,000/-. Ni hayo tu mkuu.
 
Huwezi. Na nimesoma maelezo ya Nape wanazindua kwa ajili ya small na Medium Enterprises pengine itaanza kama Smile kutarget Biashara kwanza.

5G ina coverage ndogo sana usitegemee maajabu ya 5G nchi nzima, utapata tu maeneo fulani fulani.
Asante
 
Sio lazima uende tigo shop..

bonyeza hiyo link hapo chini, utajaza form then utapigiwa Simu na agent wao ndani ya 12 hrs mzigo unakuwa tayari






Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…