Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kila nikiconect wananiambia " Engine local socket bind"

Msaada mkuu
Hapo ipi sahihi?
Screenshot_20220831-164949.jpg
 
1.DOWNLOAD HIYO ATTACHMENT (IF KAMA BADO ) YA THROID DROID VPN ILIYOPOSTIA KWENYE UZI HUU

2.UKISHAMALIZA. INSTALL , OPEN , THEN KWENYE DASHBOARD /HOME SCREEN YA HIYO APK KUNA PART YA SIGN UP FOR FREE CLICK HAPO ITAKUPELEKA UFUNGUE ACCOUNT KWA EMAIL , UTATUMIWA. EMAIL NA DROID VPN YENYE ACTIVATION LINK THE CONFIRM HUKO KWENYE EMAIL ULIYOTUMIWA KWA KU CLICK ACTIVATION URL hapo then account yako itakiwa tayari ..

3.FUNGUA HIYO ACCOUNT KWA KUTUMIA EMAIL AMBAYO UTATUMIWA CONFIRMATION LINK

4.BACK TO THROID , JUU UPANDEE WA KUSHOTO KWAKO KUNA VI DOTI VITATU , CLICK , THEN NENDA SETTING , THEN NENDA. UDP SETTING , HAPO UDP SETTING. UTAJAZA KWA DESIGN HII.
REMOTE UDP JAZA 53 , LOCAL UDP JAZA 0 , PART MBILI ZINAZOFUATIA ZIWEKE ON , UDP CONNECTION MODE JAZA MODE 1 , MAX T COUNT VALUE JAZA 2222 . R COUNT JAZA 03 , THEN. NENDA LOG IN KWENYE DASHBOARD YA THROID , LOG IN NA ILE USERNAME PLUS PASSCODE , THEN SAVE THEN CONNECT TO START..
Mkuu ipi sahihi kati ya hizi?
Screenshot_20220831-164949.jpg
 
Ni apk ngoja nakutumia inbox ,maana imeshapostiwa humu , weee cha kufanya i download then install na kiweka hizo setting
Sema mzigo haupo stable aisee, Ina disconnected every few minutes, Kuna namna ya kufix?
 
TigoBusiness Post paid. Hii ni official offer from TIGO ya mwezi huu wa 8 tu.

Mimi nimejiunga hicho cha 25,000.

Kila mwezi offer inajirenew for 12 months na unapata 30GBs each month.

Unadeposit 25,000 kama security deposit kwenda TigoBusiness. (Inapatikana kwenye list ya makampuni kwenye kulipa billi via tigopesa menu)View attachment 2324760
Hii offer nimeikosa kizembe sana dah!!
 
Mkuu we unapata Mbs ngapi kwa siku mkuu au ume settings vipi,
Account mbili nilifungua , kila account nili ongeza 100 MB mia maana kuna kipengele cha ku9ngeza. MB. Soo kwa siku ni MB 600 total setting , pale kwenye R Tcount huwa naweka 2222 , au 4444 au 6666. Depend na network responding
 
Vodacom wamezindua 5G ,Sisi wenye 4G tutaweza kutumia hiyo?
Huwezi. Na nimesoma maelezo ya Nape wanazindua kwa ajili ya small na Medium Enterprises pengine itaanza kama Smile kutarget Biashara kwanza.

5G ina coverage ndogo sana usitegemee maajabu ya 5G nchi nzima, utapata tu maeneo fulani fulani.
 
Naomba maelekezo mkuu
Inabidi uende tiGO shop ili ukasaini mkataba. Hii ni huduma ya malipo baada ya kutumia data. Kifurushi cha chini kabisa ni GB 30 kwa 25,000/- kinachodumu mwezi mmoja. Ukijiunga utatakiwa kutimiza mkataba walau kwa miezi sita ndipo kama una haja ya kujitoa utaweza kufanya hivyo. Kifurushi kinawekwa tarehe 1 ya kila mwezi saa sita usiku. Mkataba una uhai wa miaka miwili kupitia offer hii. Kwa mujibu wa maelezo ya customer care ni kwamba ofa imemalizika jana, lakini unaweza kuwatafuta kuona kama wameongeza muda.

Pia unaruhusiwa kubadili kifurushi ukiwa ndani ya mkataba, mfano GB 65 kwa 50,000/-. Ni hayo tu mkuu.
 
Asante
 
Sio lazima uende tigo shop..

bonyeza hiyo link hapo chini, utajaza form then utapigiwa Simu na agent wao ndani ya 12 hrs mzigo unakuwa tayari

Screenshot_2022-09-01_192750.jpg
Screenshot_2022-09-01_192730.jpg

Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom