Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

NEW PACKAGE VODACOM INTERNET (5G)

PRICE PER MONTH

[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811
 
DUUUUH, Jobless haituhusu hii
 
Hii ni Supakasi?!
 
30Mbps?, hii ni 5G au 4G?, kweli Bongo nyoko.
Zilizolistiwa hapo zote siyo 5G, kidogo 350Mbps inakimbilia kwenye 5G, lakini siyo 5G ni 4G+
 
30Mbps?, hii ni 5G au 4G?, kweli Bongo nyoko.
Zilizolistiwa hapo zote siyo 5G, kidogo 350Mbps inakimbilia kwenye 5G, lakini siyo 5G ni 4G+
Sasa boss me sboshani na ww Voda Alisha launch 5G na device zipo na minaraa ishafungwa wale waliofunga supakasi watapata 5G kama eneo alipo 5G coverage iko
 
30Mbps?, hii ni 5G au 4G?, kweli Bongo nyoko.
Zilizolistiwa hapo zote siyo 5G, kidogo 350Mbps inakimbilia kwenye 5G, lakini siyo 5G ni 4G+
Hivyo ni vifurushi vya unlimited lazima kuwe na speed cap, la sivyo mtu mmoja anaweza kujimilikisha mnara mzima.

Hapo utapata speed 30mbps na advantage nyengine za 5G kama ping ndogo na capacity kubwa hivyo hata mkitumia wengi speed haita drop ovyo ovyo.
 
Mkuu naomba unisaidie; nikifunga microwave 20mps dedicated, na nikifunga hii voda superfasta 100mps ipi inaweza kuwa na kasi zaidi na reliable?
 
Mkuu naomba unisaidie; nikifunga microwave 20mps dedicated, na nikifunga hii voda superfasta 100mps ipi inaweza kuwa na kasi zaidi na reliable?
Huyu jamaa hapa alisema ya Voda pia ni Microwave. Sijajua 5G yao itakuaje ila 4G yao ni reliable. Ila speed obvious 100mbps itakua na speed kuliko 20mbps.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…