Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

1.DOWNLOAD HIYO ATTACHMENT (IF KAMA BADO ) YA THROID DROID VPN ILIYOPOSTIA KWENYE UZI HUU

2.UKISHAMALIZA. INSTALL , OPEN , THEN KWENYE DASHBOARD /HOME SCREEN YA HIYO APK KUNA PART YA SIGN UP FOR FREE CLICK HAPO ITAKUPELEKA UFUNGUE ACCOUNT KWA EMAIL , UTATUMIWA. EMAIL NA DROID VPN YENYE ACTIVATION LINK THE CONFIRM HUKO KWENYE EMAIL ULIYOTUMIWA KWA KU CLICK ACTIVATION URL hapo then account yako itakiwa tayari ..

3.FUNGUA HIYO ACCOUNT KWA KUTUMIA EMAIL AMBAYO UTATUMIWA CONFIRMATION LINK

4.BACK TO THROID , JUU UPANDEE WA KUSHOTO KWAKO KUNA VI DOTI VITATU , CLICK , THEN NENDA SETTING , THEN NENDA. UDP SETTING , HAPO UDP SETTING. UTAJAZA KWA DESIGN HII.
REMOTE UDP JAZA 53 , LOCAL UDP JAZA 0 , PART MBILI ZINAZOFUATIA ZIWEKE ON , UDP CONNECTION MODE JAZA MODE 1 , MAX T COUNT VALUE JAZA 2222 . R COUNT JAZA 03 , THEN. NENDA LOG IN KWENYE DASHBOARD YA THROID , LOG IN NA ILE USERNAME PLUS PASSCODE , THEN SAVE THEN CONNECT TO START..
Wanakupa MB ngapi mkuu???

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Apa tuwemakini sana ndugu zangu.
Mkuu siwez kuwa na akili za kutaka kumpiga mganga njaa mwenzangu, Angalizo huduma hyo ni malipo kabla ukiwa huniamin unaweza mcheki @Mr kiuno Pia utaipata ni data za mwezi mmoja tu
 
Mkuu siwez kuwa na akili za kutaka kumpiga mganga njaa mwenzangu, Angalizo huduma hyo ni malipo kabla ukiwa huniamin unaweza mcheki @Mr kiuno Pia utaipata ni data za mwezi mmoja tu

Unaunga kuanzia shingapi
 
Bado mpo burundi wazee... au mnasubiri tupewe maaana ya TRAP na TRATA ndo twende [emoji23][emoji23][emoji23]
20220923_081628.jpg
 
Back
Top Bottom