Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hawa tigo wajinga sana toka juzi nmejaza form zao za post paid na hela yangu nikawachia ila hadi leo hamna mabadiliko yoyote
 
Hawa tigo wajinga sana toka juzi nmejaza form zao za post paid na hela yangu nikawachia ila hadi leo hamna mabadiliko yoyote
Me nilijiunga mwezi uliopita mpaka leo sijatumiwa bill sijui utaratibu upoje na Data walinipa natumia tu
 
Wakuu naomba mwenye link ya thor droid aiweke hapa tena,kuna mtu aliiweka humu ila simkumbuki,asanteni
 
HALOTEL BANDO ( MWEZI MZIMA)

*Pata 17GB

*Pata GB30

*Pata GB35

*Pata GB45
[emoji115][emoji115][emoji115]Ni halotel pekee seriously Pm
 
Back
Top Bottom