Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
jiunge post paid tu amna namnaMsaada jinsi ya kupata MB kwa bei rahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jiunge post paid tu amna namnaMsaada jinsi ya kupata MB kwa bei rahisi
Me nilijiunga mwezi uliopita mpaka leo sijatumiwa bill sijui utaratibu upoje na Data walinipa natumia tuHawa tigo wajinga sana toka juzi nmejaza form zao za post paid na hela yangu nikawachia ila hadi leo hamna mabadiliko yoyote
Hao wanakata kama wiki 3 hivi soon watakukatia.Me nilijiunga mwezi uliopita mpaka leo sijatumiwa bill sijui utaratibu upoje na Data walinipa natumia tu
Mbona postpaid hapo hapo unaungwa?Hawa tigo wajinga sana toka juzi nmejaza form zao za post paid na hela yangu nikawachia ila hadi leo hamna mabadiliko yoyote
Kuandika tu hajui halafu kuna wajinga wanatokea kumuamini ghafla.Jamaa akiona kimya anaanza kusumbua kupiga simu[emoji38][emoji38]View attachment 2353407
ukiona mtu anajiaminisha sana ujue kuna utapel hapo.Jamaa akiona kimya anaanza kusumbua kupiga simu[emoji38][emoji38]View attachment 2353407
Alafu jamaa linatoa like tu,yani anakuchukulia wewe ndezi sana.Huko juu watu tulikuwa na mashaka nae sana,naona ukaamua uingie King mwenyewe
Jamaa linatoa likes,linamuona jamaa ni ndezi tu.afu jamaa linalitia likes kbsa daaaaaaaah
Post paid unaungwa na unapata GB zako hapohapo,embu jaribu kuwasiliana naoHawa tigo wajinga sana toka juzi nmejaza form zao za post paid na hela yangu nikawachia ila hadi leo hamna mabadiliko yoyote
jiunge post paid tu amna namna
Post paid unaungwa na unapata GB zako hapohapo,embu jaribu kuwasiliana nao
wajinga jana et ndo wmewekea afu gb 4 wanasema et kisa katikati ya mwezi mwezi ujayo ndo watatoa 8gb afu nalipia 8000Post paid unaungwa na unapata GB zako hapohapo,embu jaribu kuwasiliana nao
Kuna mkataba wa kujazaHii imekaaje mpka niende tigo shop?
Ndio boss miaka miwili ndo unaweza kujitoaKuna mkataba wa kujaza
Kuna mkataba wa kujaza
Weka beiHALOTEL BANDO ( MWEZI MZIMA)
*Pata 17GB
*Pata GB30
*Pata GB35
*Pata GB45
[emoji115][emoji115][emoji115]Ni halotel pekee seriously Pm