Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Vipo kama bado unahitaji.Vya 25,000 havipomkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipo kama bado unahitaji.Vya 25,000 havipomkuu
Hii mbna inaruhusu hata Siku personMkuu kunna mdau humu aliuliZia ofa hii DM. Nami nilijaribu kuomba kwa customer care wangu. Sasa leo hii kunipigia kuwa nimepewa nafasi MOJA, ila huyo mdau hajibu DM. Kama yuko anayehitaji ofa ya tiGO gb30 kwa 25k anacheka DM sasa hivi Nimuunganishe kwa huyu mhudumu. Kumbuka NO EXTRA COST
Sijakuelewa. Ofa ishakwisha ila kwa kuwa niliwapigia simu kuuliza kama mteja wao mwenye mkataba leo wamenipigia simu kuniambia wametoa ofa ya mtu mmoja huyo niliyemyombea, alipe aungwe kifurushi hicho cha post paidHii mbna inaruhusu hata Siku person
Amna cha 15k ndugu wengne makapuku 25k kwa mwezi pamojto kma ninMkuu kunna mdau humu aliuliZia ofa hii DM. Nami nilijaribu kuomba kwa customer care wangu. Sasa leo hii kunipigia kuwa nimepewa nafasi MOJA, ila huyo mdau hajibu DM. Kama yuko anayehitaji ofa ya tiGO gb30 kwa 25k anacheka DM sasa hivi Nimuunganishe kwa huyu mhudumu. Kumbuka NO EXTRA COST
Waombe tiGO mkuu, mimi mteja wao tuAmna cha 15k ndugu wengne makapuku 25k kwa mwezi pamojto kma nin
Kipp unapata GB 7 nadhani kila mweziAmna cha 15k ndugu wengne makapuku 25k kwa mwezi pamojto kma nin
Cha 15 kipo cha GB 13 kama ni GB tupu, kama unataka dakika na sms ni GB 7, dk 800 na Sms kama 500 hivi.Amna cha 15k ndugu wengne makapuku 25k kwa mwezi pamojto kma nin
Unapewa na free rooter??nataka hiyo ya 50Business plan ya Vodacom ipo ya
30Gb per 50k
60GB per 85k
100Gb per 120k
With free router vigezo kuzingatiwa
Hii ya kampuni,vigezo ni nini??Hawa tigo mmewaelewa kwel yan kuna individual plan na bisness plan dahView attachment 2346732
Ni mimi mkuu sijui nimechelewaMkuu kunna mdau humu aliuliZia ofa hii DM. Nami nilijaribu kuomba kwa customer care wangu. Sasa leo hii kunipigia kuwa nimepewa nafasi MOJA, ila huyo mdau hajibu DM. Kama yuko anayehitaji ofa ya tiGO gb30 kwa 25k anacheka DM sasa hivi Nimuunganishe kwa huyu mhudumu. Kumbuka NO EXTRA COST
Hiv hay makampuni mengine hayan hiv vifurush vy post paidCha 15 kipo cha GB 13 kama ni GB tupu, kama unataka dakika na sms ni GB 7, dk 800 na Sms kama 500 hivi.
Nenda DM mkuuNi mimi mkuu sijui nimechelewa
vipo ila kikawaida postpaid hapewi mtu asiye na uhakika wa kipato, ni Tigo tu wamelegeza masharti. unaweza pitia ofisi za mtandao wako husika kupata masharti.Hiv hay makampuni mengine hayan hiv vifurush vy post paid
naombeni muongozo bora nijikamue uko uko tu mana izi buku mbili kila siku nomaCha 15 kipo cha GB 13 kama ni GB tupu, kama unataka dakika na sms ni GB 7, dk 800 na Sms kama 500 hivi.
Nenda Tigoshopnaombeni muongozo bora nijikamue uko uko tu mana izi buku mbili kila siku noma
niende na sh ngap ili kumaliza kabsa ?Nenda Tigoshop
Na kiasi cha kifurushi unachounganiende na sh ngap ili kumaliza kabsa ?
natka icho cha kumi na tano cha mb, sms, dakikaNa kiasi cha kifurushi unachounga
Hakuna.Wanaweza ila hapo ndo unasikia milioni kuvuta tu. Subiria wapitishe huko. Hakuna yale mashimo kama ya Choo mifuniko imeandikwa TTCL?
Hapo mkuu labda voda sasa, superkasi kama mnashare wawili cost 65/65 si mbaya mkuu.Hakuna.
Niliwacheki wakasema hawajafika.