Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu kunna mdau humu aliuliZia ofa hii DM. Nami nilijaribu kuomba kwa customer care wangu. Sasa leo hii kunipigia kuwa nimepewa nafasi MOJA, ila huyo mdau hajibu DM. Kama yuko anayehitaji ofa ya tiGO gb30 kwa 25k anacheka DM sasa hivi Nimuunganishe kwa huyu mhudumu. Kumbuka NO EXTRA COST
Hii mbna inaruhusu hata Siku person
 
Hii mbna inaruhusu hata Siku person
Sijakuelewa. Ofa ishakwisha ila kwa kuwa niliwapigia simu kuuliza kama mteja wao mwenye mkataba leo wamenipigia simu kuniambia wametoa ofa ya mtu mmoja huyo niliyemyombea, alipe aungwe kifurushi hicho cha post paid
 
Mkuu kunna mdau humu aliuliZia ofa hii DM. Nami nilijaribu kuomba kwa customer care wangu. Sasa leo hii kunipigia kuwa nimepewa nafasi MOJA, ila huyo mdau hajibu DM. Kama yuko anayehitaji ofa ya tiGO gb30 kwa 25k anacheka DM sasa hivi Nimuunganishe kwa huyu mhudumu. Kumbuka NO EXTRA COST
Amna cha 15k ndugu wengne makapuku 25k kwa mwezi pamojto kma nin
 
Mkuu kunna mdau humu aliuliZia ofa hii DM. Nami nilijaribu kuomba kwa customer care wangu. Sasa leo hii kunipigia kuwa nimepewa nafasi MOJA, ila huyo mdau hajibu DM. Kama yuko anayehitaji ofa ya tiGO gb30 kwa 25k anacheka DM sasa hivi Nimuunganishe kwa huyu mhudumu. Kumbuka NO EXTRA COST
Ni mimi mkuu sijui nimechelewa
 
Hiv hay makampuni mengine hayan hiv vifurush vy post paid
vipo ila kikawaida postpaid hapewi mtu asiye na uhakika wa kipato, ni Tigo tu wamelegeza masharti. unaweza pitia ofisi za mtandao wako husika kupata masharti.
 
Back
Top Bottom