Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#
bora TTCL sh500 unapata 800mb, sh1500 unapta 2gb za mwez na sh2500 unapta 3gb p1 na dk za maongezi.
 
bora TTCL sh500 unapata 800mb, sh1500 unapta 2gb za mwez na sh2500 unapta 3gb p1 na dk za maongezi.
Sawa mkuu ila kwangu naona speed ya voda ipo vizuri kuliko ya TTCL
Hiyo hapo ni screenshot ya speedtest ya Vodacom 4G, naomba utupie ya TTCL naweza shawishika kwenda kusajili laini yangu TTCL ili nipate ofa za chuo maana nilikuwa nayo kwa majaribio tu
 
Very helpful
Asante chief
 
Hauwezi kuwa Tanzania ukatumia Host ya Softlayer technologies ukapata hiyo speed especially hiyo ping ya 4ms!

Correct me if am wrong hiyo speed umefanya ya server au umetoa google na sio Speed ya mtandao wowote hapa TZ
Hata me nlkua na mashaka. Tena kwa ping hyo ni kwa nchi km South Korea.
 
Hauwezi kuwa Tanzania ukatumia Host ya Softlayer technologies ukapata hiyo speed especially hiyo ping ya 4ms!

Correct me if am wrong hiyo speed umefanya ya server au umetoa google na sio Speed ya mtandao wowote hapa TZ
unachobisha nn njoo maggni pale halaf uangalie net yetu PSO ndio zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…