Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

ni kwa baadhi ya watu, bonyeza *149*03# kama hukioni ujue kwako hakipo.
Mi inaniletea 40,000 kwa 18gb
0c135fce30cccfc46d199e4e97d1a7ed.jpg
 
umejaribu ukaliwa?
au ndio uoga wako ngoja mimi nijaribu nikiliwa nitakushirikisha hapa
Huwez liwa mkuu,mi hua natumia pia.
Hii ni SMS nmeicopy na kupaste.

xxxxxx xxxxx (jina ulilosajilia)umepokea bando ya Tsh 600

Kujiunga piga *149*94*43691273588703#

HAKIKISHA HAUJAKOPA SALIO. Kwa msaada piga 0785319003
 
XIAOMI REDMI 2
Technology:
GSM / HSPA / LTE
2G bands: GSM 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 2
3G bands: HSDPA 850 / 1900 / 2100
TD-SCDMA
4G bands : LTE band 3(1800), 7(2600), 38(2600), 39(1900), 40(2300), 41(2500

Mkuu mimi ninayo simu tajwa hapo juu. N version ya kichina. Huwa nikiweka laini inaniambia No service. Lakini katia setting simu inaonyesha laini zimesoma. Huwa inapandisha mtandao nikiwa maeneo ya mjini tu kwa mfano kuanzia ubungo kwenda mpaka mjini. ila kwa maeneo ya mbezi ya kimara ni shida tupu. Nikitaka kutumia mpaka nipate wireless ndipo nitumie. so kwa bands hizo ni laini gani nitumie. nimejaribu laini zote kasoro smart.
Ushauri wako tafadhali.

kama inapandisha mjini tu pengine ni 4g. kwa simu hio voda na TTcl ndio wana band hizo, jaribu TTCL zaidi naona wana coverage nzuri.

unejaribu kuiforce ikae 2G only? pia haipandishi mnara?
 
XIAOMI REDMI 2
Technology:
GSM / HSPA / LTE
2G bands: GSM 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 2
3G bands: HSDPA 850 / 1900 / 2100
TD-SCDMA
4G bands : LTE band 3(1800), 7(2600), 38(2600), 39(1900), 40(2300), 41(2500

Mkuu mimi ninayo simu tajwa hapo juu. N version ya kichina. Huwa nikiweka laini inaniambia No service. Lakini katia setting simu inaonyesha laini zimesoma. Huwa inapandisha mtandao nikiwa maeneo ya mjini tu kwa mfano kuanzia ubungo kwenda mpaka mjini. ila kwa maeneo ya mbezi ya kimara ni shida tupu. Nikitaka kutumia mpaka nipate wireless ndipo nitumie. so kwa bands hizo ni laini gani nitumie. nimejaribu laini zote kasoro smart.
Ushauri wako tafadhali.
Hata mimi ninayo hiyo Redmi 2 nilikuwa nimeweka laini ya voda kwa ajili ya kupiga tu maana ilikuwa ina sauti nzuri unapoongea na mtu, ilikuwa na miui 6 ikaniomba ku-upgrade kwenda 7 baada ya ku-upgrade ikaniomba ku-upgrade kwenda miui 8 nikafanya hivyo baada ya hapo hadi leo inaandika no service. Nimetafuta solution mtandaoni na nimefanya kila namna kulingana na maelezo niliyopata lakni hakuna solution. Nimetafuta rom ya miui 6 mtandaoni sijafanikiwa. Nimeamua kuitumia kwa wi-fi tu.
 
Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia

Tigo
-1gb kwa shilingi 600

Nunua vocha ya 1000 halafu ingiza mfumo huu *104*namba ya vocha*03# watakukata shilingi 600 na utapewa 1gb ya internet

-Vifurushi vya chuo

Hivi utapata mb na dakika kwa pamoja ila nitaandika tu mb, shilingi 1500 mb500 kwa wiki na sh500 ni mb300 kwa wiki. kujiunga bonyeza *148*01*20# au bonyeza *148*00# kisha chagua vifurushi maalum, itabidi uwe na line ya chuo

Vodacom

-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
Bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-Vifurushi vya chuo
Kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#

Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.

Halotel
-Vifurushi vya chuo

Hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-Usiku 10g kwa sh 1500
Pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet.

TTCL
-Boom pack (vya chuo)

Kwa shilingi 500 utapata 500MB, shilingi 1500 1gb na shilingi 2500 3gb
pia wana vifurushi vya mwezi kwa sh 1500 utapata 2gb, 3000 utapata 4gb na shilingi 5000 utapata 7GB

kujiunga *148*30#
vifurushi vya usiku
kwa shilingi 1000 utapata gb 10 za 4g kuanIa saa 4 usiku hadi 12 asubuhi, kujiunga ni menu ile ile ya *148*30#.

Smart
-Unlimited bundle
Kwa siku unlimited 1,000 kwa wiki 7,000 na kwa mwezi 20,000 tuma neno DATASIKU au DATAWIKI au DATAMWEZI kwenda 100, vifurushi hivi ni kwa watu walio nje ya dar tu

Vifurushi vya youtube
Zipo website nyingi sana wanahost movie youtube, unaweza jiunga kifurushi cha youtube kisha ukatembelea hizo site na kudownload, sema utahitaji bundle nyengine ya kubrowse na bundle ya youtube ya kudownloadia. vipo kila mtandao.

Kuna kifurushi unaona kinastahili kuwa hapo? usisite kukitaja chini.

Remote
Mkuu hilo bando la tigo linakaa kwa muda gn?
 
Hata mimi ninayo hiyo Redmi 2 nilikuwa nimeweka laini ya voda kwa ajili ya kupiga tu maana ilikuwa ina sauti nzuri unapoongea na mtu, ilikuwa na miui 6 ikaniomba ku-upgrade kwenda 7 baada ya ku-upgrade ikaniomba ku-upgrade kwenda miui 8 nikafanya hivyo baada ya hapo hadi leo inaandika no service. Nimetafuta solution mtandaoni na nimefanya kila namna kulingana na maelezo niliyopata lakni hakuna solution. Nimetafuta rom ya miui 6 mtandaoni sijafanikiwa. Nimeamua kuitumia kwa wi-fi tu.
umejarib kufix netwrk km redmi 3s o note 3 wanavofanya? vp kuhusu IMEI ipo sawa?
 
speed ni nzuri kwangu ila haimaanishi sababu kwangu ni nzuri na kwako pia itakuwa ni nzuri, mitandao ya simu inatofautiana maeneo na maeneo, ni vyema na wewe ukapima eneo lako hio speed
Samahani mkuu....hivi kwa mfano nikanunua line ya ttcl 4g....bt smu yangu hai support....maana n 3g.. Vp inaweza kua compatible.....na speed ya net Ika improve kidogo
 
Samahani mkuu....hivi kwa mfano nikanunua line ya ttcl 4g....bt smu yangu hai support....maana n 3g.. Vp inaweza kua compatible.....na speed ya net Ika improve kidogo
hapo utapata 3g tu, hivyo itategemea na speed ya 3g ya eneo lako, kama una mtu wa karibu hapo ana ttcl unaweza ukatest speed ya 3g kabla hujasajili line
 
XIAOMI REDMI 2
Technology:
GSM / HSPA / LTE
2G bands: GSM 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 2
3G bands: HSDPA 850 / 1900 / 2100
TD-SCDMA
4G bands : LTE band 3(1800), 7(2600), 38(2600), 39(1900), 40(2300), 41(2500

Mkuu mimi ninayo simu tajwa hapo juu. N version ya kichina. Huwa nikiweka laini inaniambia No service. Lakini katia setting simu inaonyesha laini zimesoma. Huwa inapandisha mtandao nikiwa maeneo ya mjini tu kwa mfano kuanzia ubungo kwenda mpaka mjini. ila kwa maeneo ya mbezi ya kimara ni shida tupu. Nikitaka kutumia mpaka nipate wireless ndipo nitumie. so kwa bands hizo ni laini gani nitumie. nimejaribu laini zote kasoro smart.
Ushauri wako tafadhali.

bila shaka iyo cm ulinunua used?? ilo tatzo lako linaeza kua ni ilibadilishwa imei number au walibadilsha firmware...cha kwnza ebu charibu kupiga *#06# kisha compare izo imei number na za kwny nyuma ya cm uone kama znafanana??? km hazfanani bc ujue iyo cm either iliibiwa wakachange imei number ndo tatzo ilo likatokeq...au inaeza kua ni ilo la kubadilisha version (firmware) km kati ya ayo matatzo umekuta moja wpo nipe feedback
 
Back
Top Bottom