XIAOMI REDMI 2
Technology: GSM / HSPA / LTE
2G bands: GSM 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 2
3G bands: HSDPA 850 / 1900 / 2100
TD-SCDMA
4G bands : LTE band 3(1800), 7(2600), 38(2600), 39(1900), 40(2300), 41(2500
Mkuu mimi ninayo simu tajwa hapo juu. N version ya kichina. Huwa nikiweka laini inaniambia No service. Lakini katia setting simu inaonyesha laini zimesoma. Huwa inapandisha mtandao nikiwa maeneo ya mjini tu kwa mfano kuanzia ubungo kwenda mpaka mjini. ila kwa maeneo ya mbezi ya kimara ni shida tupu. Nikitaka kutumia mpaka nipate wireless ndipo nitumie. so kwa bands hizo ni laini gani nitumie. nimejaribu laini zote kasoro smart.
Ushauri wako tafadhali.