Mkuu habari,Kama una uwezo mkuu 15000 kwa mwezi pambania postpaid Tigo GB 13.
Hii roughly ni gb 1.625 kwa 2000 sio mbaya.
Umetumia Microsoft word?Mkuu habari,
Najua hili swala lipo nje ya muktadha kidogo.
Is it possible kudraft word documents kwenye simu na zikakaa vizuri kabisa? And how?
Manake najaribu kuziandika alafu zinakaa shaghalabaghala.
Microsoft word yes.Umetumia Microsoft word?
Alignment inazingua ukitumia 3rd party apps.
Google doc. kuna watu naona wanaizungumzia ingawa sijaijaribu, una experience nayo mkuu?Umetumia Microsoft word?
Alignment inazingua ukitumia 3rd party apps.
Noop mkuu haiitaji ajira maalum mim mlala hoi tu km wewe ila wameniungahizi postpaid zinataka wenye ajira maalaum. vipi wemzangu na mimi wenye kazi za kuungaunga?.
mambo ya kwenda ofisini na kuanza kuhojiwa maswali kibao ni miyeyusho, huwezi unganishwa hivi vifurushi vya postpaid in a faster way?
Google doc pia unaweza ukatumia ila ni software ya Online, unatumia browser ama web based app.Google doc. kuna watu naona wanaizungumzia ingawa sijaijaribu, una experience nayo mkuu?
kama ndiyo hivyo unaenda na vitambulisho vyako tu basi.Noop mkuu haiitaji ajira maalum mim mlala hoi tu km wewe ila wameniunga
nlienda na namba ya nida na tsh 15000 nkajaza mkataba nkawapa hela bas wakaniungakama ndiyo hivyo unaenda na vitambulisho vyako tu basi.
umeanza hatua zipi na zipi mpaka umefanikiwa kuungwa?.
nshachoka na bando ya wiki unatumia siku 2. bei zinazidi kupanda while vifurushi vinashuka, sasa hivi sh. 500 unapata 245 MB, itakwenda hadi sh. 500 = 200 MB, then sh. 500 = 150 MB, mwishowe sh. 500 = 100 MB, itakuwa mtafutano mwanzo mwisho
kumbe simpo, kuna comment zinakatisha tamaa humu, zinasema mpaka uende na vitambulisho chungu mzima. kumbe namba ya NIDA na mchezo umekwishanlienda na namba ya nida na tsh 15000 nkajaza mkataba nkawapa hela bas wakaniunga
namba ya nida ndo kila ktukumbe simpo, kuna comment zinakatisha tamaa humu, zinasema mpaka uende na vitambulisho chungu mzima. kumbe namba ya NIDA na mchezo umekwisha
kutapeliwa wap mkuuNgoja nanyie mkatapeliwe kama mimi tufanane
Una uhakika aliekupigia hajakuweka conference? Umejaribu kujipigia mwenyewe inaleta hilo neno?Wakuu, nje ya mada kidogo. Simu yangu kwa upande wa line ya Vodacom inaleta ujumbe wa 'Conference call' pale nikipigiwa simu. Je natatua vipi hiyo changamoto?.
CHIEF MKWAWA
Dooh, ni kweli akiyenipigia alini-add...Una uhakika aliekupigia hajakuweka conference? Umejaribu kujipigia mwenyewe inaleta hilo neno?
Nasikia Vpn zinaua betri kuna ukweli ?Kama bado una hii app kwenye simu yako, nikupongeze tu maana neema zimerudi tenaπππ
View attachment 2396058
pambana sasa kutafuta mtandao unao support FREE DATA maana tukisema hapa zinabanwa fasta sana
View attachment 2396060
Kama mtakumbuka, nilishasanua hili chimbo zamani sana likiwa na STARK VPNπππ
Baadae nikalaumiwa sana sana kwamba nimeharibu chimbo
Bure vipi tupe madini mkuu chap tufanikishe.AIRTEL bure huko, washa data uone