Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI

PRICE PER MONTH

[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811

It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antenna
 
Kama una uwezo mkuu 15000 kwa mwezi pambania postpaid Tigo GB 13.

Hii roughly ni gb 1.625 kwa 2000 sio mbaya.
Mkuu habari,

Najua hili swala lipo nje ya muktadha kidogo.

Is it possible kudraft word documents kwenye simu na zikakaa vizuri kabisa? And how?

Manake najaribu kuziandika alafu zinakaa shaghalabaghala.
 
Mkuu habari,

Najua hili swala lipo nje ya muktadha kidogo.

Is it possible kudraft word documents kwenye simu na zikakaa vizuri kabisa? And how?

Manake najaribu kuziandika alafu zinakaa shaghalabaghala.
Umetumia Microsoft word?

Alignment inazingua ukitumia 3rd party apps.
 
hizi postpaid zinataka wenye ajira maalaum. vipi wemzangu na mimi wenye kazi za kuungaunga?.

mambo ya kwenda ofisini na kuanza kuhojiwa maswali kibao ni miyeyusho, huwezi unganishwa hivi vifurushi vya postpaid in a faster way?
Noop mkuu haiitaji ajira maalum mim mlala hoi tu km wewe ila wameniunga
 
Noop mkuu haiitaji ajira maalum mim mlala hoi tu km wewe ila wameniunga
kama ndiyo hivyo unaenda na vitambulisho vyako tu basi.
umeanza hatua zipi na zipi mpaka umefanikiwa kuungwa?.

nshachoka na bando ya wiki unatumia siku 2. bei zinazidi kupanda while vifurushi vinashuka, sasa hivi sh. 500 unapata 245 MB, itakwenda hadi sh. 500 = 200 MB, then sh. 500 = 150 MB, mwishowe sh. 500 = 100 MB, itakuwa mtafutano mwanzo mwisho
 
nlienda na namba ya nida na tsh 15000 nkajaza mkataba nkawapa hela bas wakaniunga
 
nlienda na namba ya nida na tsh 15000 nkajaza mkataba nkawapa hela bas wakaniunga
kumbe simpo, kuna comment zinakatisha tamaa humu, zinasema mpaka uende na vitambulisho chungu mzima. kumbe namba ya NIDA na mchezo umekwisha
 
Wakuu, nje ya mada kidogo. Simu yangu kwa upande wa line ya Vodacom inaleta ujumbe wa 'Conference call' pale nikipigiwa simu. Je natatua vipi hiyo changamoto?.

CHIEF MKWAWA
 
Kama bado una hii app kwenye simu yako, nikupongeze tu maana neema zimerudi tena😂😂😂
Screenshot_20221024-074344.png

pambana sasa kutafuta mtandao unao support FREE DATA maana tukisema hapa zinabanwa fasta sana
Screenshot_20221024-074524.png

Kama mtakumbuka, nilishasanua hili chimbo zamani sana likiwa na STARK VPN😎😎😎

Baadae nikalaumiwa sana sana kwamba nimeharibu chimbo
 
Kama bado una hii app kwenye simu yako, nikupongeze tu maana neema zimerudi tena😂😂😂
View attachment 2396058
pambana sasa kutafuta mtandao unao support FREE DATA maana tukisema hapa zinabanwa fasta sana
View attachment 2396060

Kama mtakumbuka, nilishasanua hili chimbo zamani sana likiwa na STARK VPN😎😎😎

Baadae nikalaumiwa sana sana kwamba nimeharibu chimbo
Nasikia Vpn zinaua betri kuna ukweli ?
 
Back
Top Bottom