Africayetuswahilitv
Senior Member
- Sep 24, 2022
- 168
- 221
mtandao gani?..[emoji116]View attachment 2397469
nawezaje kupata hii..Unaishi nchi GANI [emoji116]View attachment 2398206
Toa info mzee, kupost bila info ni kama umekuja kutamba huku, au labda ni wale ndugu zetu hapo sawa[emoji116]View attachment 2399452
Asante ... lakini zinafanya kazi fresh tu .....ya halotel Ndoo haifanyi kazi KWA sasaZinafanyakazi kwa babu yako labda
Wakina nani tenaToa info mzee, kupost bila info ni kama umekuja kutamba huku, au labda ni wale ndugu zetu hapo sawa
Umeambiwa utoe info au umekuja kututambiaWakina nani tena
Aaah saw subirUmeambiwa utoe info au umekuja kututambia
Sure ni kweli inafanya kazi?Wale wa AIRTEL. Nenda stark vpn weka setting kama unavyoona hapo.
washa data washa stark vpn kisha enjoy free data
ukija PM utalipia 500[emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2397392
Mi nimewaonya kabisa hapo juu kuwa hizo sio graphics za tigo lakini bado mnatuma hela.We na mtu wako mmeniingiza hasara,ngoja kesho nikafuatilie tigo kama ntapata hela yangu nloituma kwenye tigo business
Unaishi Mtakuja kule hata mkongo wa taifa hakuna wala mnara hakuna utafanyaje!Bora nitafute hela tu niweke Wi-fi ndani.
Wacha wapigwe ndio furaha yaoMi nimewaonya kabisa hapo juu kuwa hizo sio graphics za tigo lakini bado mnatuma hela.
Nimechagua ile ya 500MB dailyWale wa AIRTEL. Nenda stark vpn weka setting kama unavyoona hapo.
washa data washa stark vpn kisha enjoy free data
ukija PM utalipia 500[emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2397392
Hii huduma ya tigo business ipo kabisa nilienda tigo shop nikaikuta ila wamefanya update kwenye hivyo vifurushi yani ni balaa tu hamna kitu kabisa bora vya mwanzo yani wamepunguza takribani nusu ya kifurushi.Mi nimewaonya kabisa hapo juu kuwa hizo sio graphics za tigo lakini bado mnatuma hela.
Ni masharti gani hayo mkuu,Hii huduma ya tigo business ipo kabisa nilienda tigo shop nikaikuta ila wamefanya update kwenye hivyo vifurushi yani ni balaa tu hamna kitu kabisa bora vya mwanzo yani wamepunguza takribani nusu ya kifurushi.
Bora niendelee kuteseka tu kawaida kuliko nipewe masharti magumu mpaka nipate huduma alafu huduma sawa na watu wengine.
Kuna member yoyote alienunua kifurushi kwa huyu jamaa? Atupe mrejesho[emoji116]View attachment 2400293
Share on WhatsApp
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.wa.link
Mbna naona kma ni zantel hao kifurushi cha kawaida tuKuna member yoyote alienunua kifurushi kwa huyu jamaa? Atupe mrejesho
Thanks
Kuna member yoyote alienunua kifurushi kwa huyu jamaa? Atupe mrejesho
Thanks
Hakuna Vifurushi kama hivyo mkuu, vifurushi unavyoona vinaungwa humu vipo official kwenye mitandao ya simu na unaweza vihakiki kwenye website ama mawakala wao.Kuna member yoyote alienunua kifurushi kwa huyu jamaa? Atupe mrejesho
Thanks
Kwahiyo wewe unapiga screenshot hadi simu.[emoji116]View attachment 2401286
Sema wengine ndio wanakitumia kutapeli watu.Hii huduma ya tigo business ipo kabisa nilienda tigo shop nikaikuta ila wamefanya update kwenye hivyo vifurushi yani ni balaa tu hamna kitu kabisa bora vya mwanzo yani wamepunguza takribani nusu ya kifurushi.
Bora niendelee kuteseka tu kawaida kuliko nipewe masharti magumu mpaka nipate huduma alafu huduma sawa na watu wengine.