Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mi nimewaonya kabisa hapo juu kuwa hizo sio graphics za tigo lakini bado mnatuma hela.
Hii huduma ya tigo business ipo kabisa nilienda tigo shop nikaikuta ila wamefanya update kwenye hivyo vifurushi yani ni balaa tu hamna kitu kabisa bora vya mwanzo yani wamepunguza takribani nusu ya kifurushi.
Bora niendelee kuteseka tu kawaida kuliko nipewe masharti magumu mpaka nipate huduma alafu huduma sawa na watu wengine.
 
Ni masharti gani hayo mkuu,
 
[emoji116]View attachment 2400293

Kuna member yoyote alienunua kifurushi kwa huyu jamaa? Atupe mrejesho
Thanks
 
Hii huduma ya tigo business ipo kabisa nilienda tigo shop nikaikuta ila wamefanya update kwenye hivyo vifurushi yani ni balaa tu hamna kitu kabisa bora vya mwanzo yani wamepunguza takribani nusu ya kifurushi.
Bora niendelee kuteseka tu kawaida kuliko nipewe masharti magumu mpaka nipate huduma alafu huduma sawa na watu wengine.
Sema wengine ndio wanakitumia kutapeli watu.
 
Back
Top Bottom