Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hiyo niliyojiunga hata nikidownload GB 100 kwa siku haikati hadi mwisho wa mwezi.
Kiufupi kwa sasa youtube naangalia 1080p na 720p pekee
Tatizo bei yao imesimama yani kama kwa matumizi ya ofisini somehow inaweza kuwa nafuu ila kwa matumizi ya kawaida tu walau wangefanya 70k
 
[emoji106][emoji116]



Click [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…