Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Tigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tigo
Tsh 55,000 hikoNimeamua kuunga Unlimited ya voda kwa 115,000 kwa mwezi
Hiyo niliyojiunga hata nikidownload GB 100 kwa siku haikati hadi mwisho wa mwezi.Tsh 55,000 hikoView attachment 2406526
Hongera Mkuu Voda sio wababaishaji.Nimeamua kuunga Unlimited ya voda kwa 115,000 kwa mwezi
Line mpya VodaHongera Mkuu Voda sio wababaishaji.
Vipi requirements zake ni zipi
Hii security deposit inasaidia NN?! Kwamba kama kuna mwezi sijalipia inacover au ikoje?!Line mpya Voda
Copy NIDA
Copy Tin
Lipa security deposit of 2 months payment equal to 230,000
Yes boss inacover apo kama utakua hujalipa wasikate hudumaHii security deposit inasaidia NN?! Kwamba kama kuna mwezi sijalipia inacover au ikoje?!
Upo wapi kijana tuje kukusaidia kuzinyonya?Mzigo uliingia 80gb now zimebaki 72gbView attachment 2406054
Lbd kwako na kwangu tofauti
Hahahaha...Me mwenyewe hazintoshi kabla ya Mwisho wa mwezi lazima niunge Bando lingine la kunisogeza mpk tarehe mojaUpo wapi kijana tuje kukusaidia kuzinyonya?
#RudiNyumbaniKumenoga
Na kila mwezi ni lazima uunge? Vp naweza nikaitoa line kwenye hikonkifaa chakr nikaweka kwenye simu?Yes boss inacover apo kama utakua hujalipa wasikate huduma
Yaani shwaaaaaaHahahaha...Me mwenyewe hazintoshi kabla ya Mwisho wa mwezi lazima niunge Bando lingine la kunisogeza mpk tarehe moja
Nimepata 30gbLete mrejesho.. November tayar ishafika
TIN, Kitambulisho, Line ya 5GHongera Mkuu Voda sio wababaishaji.
Vipi requirements zake ni zipi
Kwa smu inaweza kubali ila kupokea na kupiga huwez sema smu iwe na capability kubwaNa kila mwezi ni lazima uunge? Vp naweza nikaitoa line kwenye hikonkifaa chakr nikaweka kwenye simu?
Maelekezo ya kufanya kidogo mkuu, kama hutojali!Nimepata 30gb
Tatizo bei yao imesimama yani kama kwa matumizi ya ofisini somehow inaweza kuwa nafuu ila kwa matumizi ya kawaida tu walau wangefanya 70kHiyo niliyojiunga hata nikidownload GB 100 kwa siku haikati hadi mwisho wa mwezi.
Kiufupi kwa sasa youtube naangalia 1080p na 720p pekee
wa.link
Hii comment ndio iliyo washtuaHalotel ndio bado hawajashusha bundle lao la wiki
Ni 2000 kwa GB 1
Lkn mitandao wengine wote wameshusha zimebakia mb 800 na 850