Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Tigo wana band 2, 1800 ambayo inapatikana katikati ya majiji na 800 ambayo inapatikana nchi nzima.

1800 ina speed ila coverage ndogo na 800 ina coverage kubwa ila speed ya kawaida.

Ulitest mjini?

Kimara mkuu, mida ya saa 11 alfajiri. Japo mida ya kawaida i
nacheza around 40Mbps
 
Naitaji bando za post paid tigo 30,000 @37gb sema sina lesen ya biashara kuna anaweza kunisaidia nikafanikisha hili?? Nitalipa garama za usaidiz
 
Naitaji bando za post paid tigo 30,000 @37gb sema sina lesen ya biashara kuna anaweza kunisaidia nikafanikisha hili?? Nitalipa garama za usaidiz
Hata nikipata kile cha gb 30 kwa 25k sio mbaya
 
Hivi kwa sasa ni kampuni gani ya simu ambayo inatoa vifurushi rahisi vya internet (MBs nyingi kwa pesa kidogo)? Naona kampuni zote zimeamua kukaa kikao cha pamoja kutukandamiza sisi watumiaji kila kukicha ili tukose mahalli pa kukimbilia. Mwanzoni halotel walikuwa nafuu lakini juzi walishusha kiasi cha kifurushi kutoka 10 GB kwa Tsh 10,000 hadi 4.9 GB. Yaani hawa umbwa wameniudhi kweli hadi nimeamua kurudi Vodacom bila kupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…