Msamalia Tz24
New Member
- Oct 8, 2020
- 2
- 0
Mitandao yote inafanana mkuu, hakuna unafuu. Vifurushi vizuri ni Postpaid Tigo, 15,000 GB 13, 25,000 gb 30.Hivi kwa sasa ni kampuni gani ya simu ambayo inatoa vifurushi rahisi vya internet (MBs nyingi kwa pesa kidogo)? Naona kampuni zote zimeamua kukaa kikao cha pamoja kutukandamiza sisi watumiaji kila kukicha ili tukose mahalli pa kukimbilia. Mwanzoni halotel walikuwa nafuu lakini juzi walishusha kiasi cha kifurushi kutoka 10 GB kwa Tsh 10,000 hadi 4.9 GB. Yaani hawa umbwa wameniudhi kweli hadi nimeamua kurudi Vodacom bila kupenda.
Hii ni website ya kupakua movie wana mbs chache angalau zina quality nzuriMkuu, hii Netnaija ni nini? Inauzwa Tsh ngapi?
Asante sana mkuu. Bora nihamie TTCL. Hivi hawa TTCL wana wanazo modems?Mitandao yote inafanana mkuu, hakuna unafuu. Vifurushi vizuri ni Postpaid Tigo, 15,000 GB 13, 25,000 gb 30.
Pia ipo ofa ukinunua router ya 50,000 unapata GB 40 kwa Tigo.
Pia kama upo eneo kuna TTCL copper ni 25000 tu kwa mwezi unlimited 4mbps.
Wanazo ila hio ttcl ninayokwambia sio ya line ni fixed za majumbani, hutembei nayoAsante sana mkuu. Bora nihamie TTCL. Hivi hawa TTCL wana wanazo modems?
Hiki cha GB 30 nakitaka mkuu, naoamba msaada namna ya kupataa kwasababu nimeenda mpaka tigo shop wakasemaa vimebadilika.Mitandao yote inafanana mkuu, hakuna unafuu. Vifurushi vizuri ni Postpaid Tigo, 15,000 GB 13, 25,000 gb 30.
Pia ipo ofa ukinunua router ya 50,000 unapata GB 40 kwa Tigo.
Pia kama upo eneo kuna TTCL copper ni 25000 tu kwa mwezi unlimited 4mbps.
mkuu nikumbushe ukiona kimya, kuna mtu wangu nitamtembelea nitakupa jibu sahihi.Hiki cha GB 30 nakitaka mkuu, naoamba msaada namna ya kupataa kwasababu nimeenda mpaka tigo shop wakasemaa vimebadilika.
TTCL COPPER ndo nn mkuu?Mitandao yote inafanana mkuu, hakuna unafuu. Vifurushi vizuri ni Postpaid Tigo, 15,000 GB 13, 25,000 gb 30.
Pia ipo ofa ukinunua router ya 50,000 unapata GB 40 kwa Tigo.
Pia kama upo eneo kuna TTCL copper ni 25000 tu kwa mwezi unlimited 4mbps.
adsl internet, internet za majumbani zinazotumia zile waya za zamani za simu.TTCL COPPER ndo nn mkuu?
Uwe wapitia hata google kujua gharama zakeUjio wa buyu mwamba kuna weza leta unafuu kweny maswala mazima ya internet View attachment 2421195
Sasa Hivi tigo(postpaid) wamepunguza GB kwenye kifurushi cha 15000.Mitandao yote inafanana mkuu, hakuna unafuu. Vifurushi vizuri ni Postpaid Tigo, 15,000 GB 13, 25,000 gb 30.
Pia ipo ofa ukinunua router ya 50,000 unapata GB 40 kwa Tigo.
Pia kama upo eneo kuna TTCL copper ni 25000 tu kwa mwezi unlimited 4mbps.
Hawa Ttcl wakisha kufungia hicho ki device chao kinakuwa na uwezo wa kuunganisha watu wangapi?..?Mitandao yote inafanana mkuu, hakuna unafuu. Vifurushi vizuri ni Postpaid Tigo, 15,000 GB 13, 25,000 gb 30.
Pia ipo ofa ukinunua router ya 50,000 unapata GB 40 kwa Tigo.
Pia kama upo eneo kuna TTCL copper ni 25000 tu kwa mwezi unlimited 4mbps.
Minimum 10, ila router nyengine zinazidi hapo.Hawa Ttcl wakisha kufungia hicho ki device chao kinakuwa na uwezo wa kuunganisha watu wangapi?..?
ukiwa na maana ikiwa ni 4mbps ikatokea mpo watu 4 kila mmoja atatumia 1mbps per each one?..?Minimum 10, ila router nyengine zinazidi hapo.
Sema 4mbps inatosha watu kama wawili ama watatu tu. Mkiwa wengi itabidi uongeze speed.
Ndio na ni 1mbps kwa maana megabit, Actual speed kwa bytes hapo ni 125 Kilobyte kwa sekundeukiwa na maana ikiwa ni 4mbps ikatokea mpo watu 4 kila mmoja atatumia 1mbps per each one?..?
kifurushi kinachofuata hapo kina bei gani?..? na kina speed gani?..?Ndio