Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #6,141
Unaongeza kwa kununua kifurushi cha juu zaidi kama una 4mbps unanunua 8mbps ama 20mbps etc.Speed unaongezaje?maana supa kasi ya elfu 50 ya voda aikubali kudownload movies ila youtube poa,netflix n.k kudownload torrent tu ndio mb 200 wiki unaweza usimalize