Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu, naomba kuuliza, nikitaka kufunga WiFi mfano ya supakasi ikaenea eneo kubwa mfano kwenye jengo ienee ofisi zote za juu na chini nahitaji kuwa na vifaa gani?
Mesh router mkuu, zipo router ambazo zinakuja 3 kwa pamoja, unaweka corner mbalimbali.

Pia zipo repeater ambazo unaweza fungia kwa router za sasa.
 
Mesh router mkuu, zipo router ambazo zinakuja 3 kwa pamoja, unaweka corner mbalimbali.

Pia zipo repeater ambazo unaweza fungia kwa router za sasa.
Sawa chief, Nataka funga supakasi, but nahitaji nisambaze eneo kubwa kweny jengo, kwa uzoefu wako kipi kitafaa zaidi kati ya hizo?
 
Habari Chief, nina tigo Postpaid ya 30gb per 25k lakini naona bado haitoshi kwa matumizi, nafikiria nihamie Ttcl adsl kwa 25k

Je kwenye ADSL naweza shusha 100gb kwa mwezi Au nibaki tuu na hii TG postpaid?
Hyo tigo post paid inakuaje chief
 
Mitandao yote inafanana mkuu, hakuna unafuu. Vifurushi vizuri ni Postpaid Tigo, 15,000 GB 13, 25,000 gb 30.

Pia ipo ofa ukinunua router ya 50,000 unapata GB 40 kwa Tigo.

Pia kama upo eneo kuna TTCL copper ni 25000 tu kwa mwezi unlimited 4mbps.
Chief naweza kupata hii huduma ya Tigo?

Sent from my KOZ-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Pana ukweli hapa [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Screenshot_20221202-211616.jpg
 
Now days wamepunguza sana GBs, so cheki kama vitakufaa..View attachment 2434180
Kuna siku nilienda tigo shop kwa ajili ya kujinga na huduma hii lakini walivonambia vimebadilika kwa kupungua kama inavosomeka hapo kweny hii picha nilikimbia wala sikuungwa kuliko hii huduma yao bora hata ya voda ile ya kweny simu kasi internet unanunua mwenyewe kweny cm yako elf50 unapata gb24 mwezi mzima harafu hata zikiisha bado unapata internet mpaka mwezi uishe japo speed inapungua kiasi ili kufikisha mwezi wako ulioijiunga.

Kama mnavoona hapa kweny picha voda unapiga ile menu ya kujiunga vifurushi 149*01 baada ya hapo utachagua namba 6 kasi /siku30 na baadae picha namba 2 itakuja yaani vifurushi vitakuja utachagua namba utakayo iwe namba 1 ya 50k kwa hizo gb24 au 85k gb 34 ni wewe tu vifurushi hivi havikati internet baada ya gb kuisha bali mpka mwezi uishe sema gb zako zikiisha speed ya net inapungua ila mwezi uishe hata ukitumia gb 5 kwa siku ni wewe tu..

NB: KUMBUKA Kupata menu hii ya kasi/siku30 kweny LAINI yako lazima iwezeshwe na hao hao vodacom SIO KILA LAINI INA HII MENU NO utaenda kweny branch za vodashop zao au unapiga simu huduma kwa wateja na utawaambia kusudi lako kuwa unataka kuwezeshwa laini yako kuwa na ile menu ya kasi internet siku30 kweny cm yako ili uwe unajiunga wewe mwenyewe popote mda wowote. Mimi nikienda kabisa vodashop.. Japo kuna baadhi ya maduka yao wahudumu hawana uelewa wa hiki kifurushi.. Kuna vodashop moja ya buguruni lozana niliingia wakanambia hawajui habar hii wanakanielekea niende kariakoo kwa kuwa sio mbali kutoka lozana na kariakoo nilienda. Voda shop nyingine huku mtaani nakoishi wali segerea waliniambia lazima nisajili laini nyingine ili kupata huduma hii kichwa kiliwaka moto maana kuwa na utitiri wa laini nao sio sawa na ni lazima iwe hewani lakini kariakoo wao wakanambia sio lazima usajiri laini nyingine no hata hiyo hiyo laini yako za unayotumia inawezeshwa kwaiyo nikawezesha hii hii na mahali popote nijiunga. ASANTENI UKIKWAMA MAHALI NIAMBIE NIKUSAIDIE.
Picsart_22-12-03_14-29-25-449.jpg
Screenshot_20221203-142548.jpg
 
Kuna siku nilienda tigo shop kwa ajili ya kujinga na huduma hii lakini walivonambia vimebadilika kwa kupungua kama inavosomeka hapo kweny hii picha nilikimbia wala sikuungwa kuliko hii huduma yao bora hata ya voda ile ya kweny simu kasi internet unanunua mwenyewe kweny cm yako elf50 unapata gb24 mwezi mzima harafu hata zikiisha bado unapata internet mpaka mwezi uishe japo speed inapungua kiasi ili kufikisha mwezi wako ulioijiunga.

Kama mnavoona hapa kweny picha voda unapiga ile menu ya kujiunga vifurushi 149*01 baada ya hapo utachagua namba 6 kasi /siku30 na baadae picha namba 2 itakuja yaani vifurushi vitakuja utachagua namba utakayo iwe namba 1 ya 50k kwa hizo gb24 au 85k gb 34 ni wewe tu vifurushi hivi havikati internet baada ya gb kuisha bali mpka mwezi uishe sema gb zako zikiisha speed ya net inapungua ila mwezi uishe hata ukitumia gb 5 kwa siku ni wewe tu..

NB: KUMBUKA Kupata menu hii ya kasi/siku30 kweny LAINI yako lazima iwezeshwe na hao hao vodacom SIO KILA LAINI INA HII MENU NO utaenda kweny branch za vodashop zao au unapiga simu huduma kwa wateja na utawaambia kusudi lako kuwa unataka kuwezeshwa laini yako kuwa na ile menu ya kasi internet siku30 kweny cm yako ili uwe unajiunga wewe mwenyewe popote mda wowote. Mimi nikienda kabisa vodashop.. Japo kuna baadhi ya maduka yao wahudumu hawana uelewa wa hiki kifurushi.. Kuna vodashop moja ya buguruni lozana niliingia wakanambia hawajui habar hii wanakanielekea niende kariakoo kwa kuwa sio mbali kutoka lozana na kariakoo nilienda. Voda shop nyingine huku mtaani nakoishi wali segerea waliniambia lazima nisajili laini nyingine ili kupata huduma hii kichwa kiliwaka moto maana kuwa na utitiri wa laini nao sio sawa na ni lazima iwe hewani lakini kariakoo wao wakanambia sio lazima usajiri laini nyingine no hata hiyo hiyo laini yako za unayotumia inawezeshwa kwaiyo nikawezesha hii hii na mahali popote nijiunga. ASANTENI UKIKWAMA MAHALI NIAMBIE NIKUSAIDIE. View attachment 2434454View attachment 2434455

Baada ya kupungua Speed inaweza kuingia youtube au kudownload?
 
Kama kawa mkuu hata Netflix au fb, WhatsApp, insta, na site zingine nyingi tena bila limit ya gb ni wewe na mda wako hata kwa siku utumie gn5 au 10 na unaweza kuwawashia wifi hata wengine mkatumia
Speed wakipunguza, inapungua kiasi gan? Mfano nataka view video ya 720p YouTube bila buffer itawezekana kweli? Speed ya download inafika kb ngap kwa sekunde?
 
Ngoja aje huyu mwamba wa mambo haya utakujibu vizuri zaidi yangu njooo hapa buana unahitajika ujibu wana Chief-Mkwawa
 
Mimi sijawahi kujiunga hiki kifurushi ila kwa screenshot za wadau ni 800kbps/1mbps speed ikipungua.

Kwa hii speed huwezi kuangalia HD youtube na netflix bali utaangalia kwa sd yaani 480p.

Inategemea unatumia kifaa gani, kama ni. Simu tu sd haina neno itakua kawaida tu ila kama unatumia tv hasa hizi za kisasa itakua quality ndogo
 
Back
Top Bottom