Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
in Bei gani? iyo router na mabando ya mwezi yana Bei gani?Minimum 10, ila router nyengine zinazidi hapo.
Sema 4mbps inatosha watu kama wawili ama watatu tu. Mkiwa wengi itabidi uongeze speed.
50,000 8mbps.kifurushi kinachofuata hapo kina bei gani?..? na kina speed gani?..?
Hio ni internet isiyohamishika wanakuletea waya Nyumbani. Kuanzia 25,000 kwa mwezi. Unaenda TTCL kuletewa huduma.in Bei gani? iyo router na mabando ya mwezi yana Bei gani?
nikinunue nitumie Hapa home wawili tu Mimi na mama watoto.
hapa hii 50,000/= inakuwepo jumla (router & Package) ama ni bei ya Package tu?..?50,000 8mbps.
Ila kama upo eneo la Fiber ni 55,000 20mbps.
Package ya mwezihapa hii 50,000/= inakuwepo jumla (router & Package) ama ni bei ya Package tu?..?
Hawana issue. Wana throttle speed to 1mbps.Kuna yeyote kawacheki hawa jamaaaa!!?View attachment 2422643
ko Router unagharamikia mwenyewe?..? na kwa makadirio Router inauzwa bei gani?..?Package ya mwezi
Duh hiyo si mpaka uwe umejenga maana Kuna kuhama hizi nyumba za kupanga,Hio ni internet isiyohamishika wanakuletea waya Nyumbani. Kuanzia 25,000 kwa mwezi. Unaenda TTCL kuletewa huduma.
Inategemea kama wanazo ofisini wanakuja nazo otherwise unanunua mwenyewe,ko Router unagharamikia mwenyewe?..? na kwa makadirio Router inauzwa bei gani?..?
Waya unatoka kwenye nguzo ya simu kama ipo mtaani kwenu.Duh hiyo si mpaka uwe umejenga maana Kuna kuhama hizi nyumba za kupanga,
Halafu vipi kuhusu umbali na wtapoungia huo ways?
Habari Chief, nina tigo Postpaid ya 30gb per 25k lakini naona bado haitoshi kwa matumizi, nafikiria nihamie Ttcl adsl kwa 25kWaya unatoka kwenye nguzo ya simu kama ipo mtaani kwenu.
Kama una uvumilivu unashusha mkuu, mdogo mdogo.Habari Chief, nina tigo Postpaid ya 30gb per 25k lakini naona bado haitoshi kwa matumizi, nafikiria nihamie Ttcl adsl kwa 25k
Je kwenye ADSL naweza shusha 100gb kwa mwezi Au nibaki tuu na hii TG postpaid?
Chief Mkwawa,, irudiwe hiiHii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
Kwa Tigo bonyeza *147*00# kisha chagua size yako, unaweza kupata vifurushi vizuri, Ila njia hii sio reliable kwani vifurushi hivyo hubadilika kila Mara.
Vodacom
Vodacom angalia kwenye ya kwako tu, piga *149*03# kuangalia ofa.
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#
-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.
-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)
vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
TTCL
-bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.
-Toboa Night navyo ni vifurushi vizuri vya usiku in case Halotel kwako inasumbua ama Haina speed, kwa 500 unapata GB 2 na 1000 unapata GB 10.
Vyote toboa na bandika bandua unajiunga kwa kubonyeza *148*30# kisha TTCL bundles.
-Ofa maalum, pia TTCL Wana ofa mbalimbali Kama vile za sabasaba, nanenane etc ambazo wanazieka kwenye option ya vifurushi maalum,
Kweli mkuu ila content za kuweka ni kidogo ila plan zipoChief Mkwawa,, irudiwe hii
Tigo post paid unaipataje na ni gb ngapi?Habari Chief, nina tigo Postpaid ya 30gb per 25k lakini naona bado haitoshi kwa matumizi, nafikiria nihamie Ttcl adsl kwa 25k
Je kwenye ADSL naweza shusha 100gb kwa mwezi Au nibaki tuu na hii TG postpaid?
Speed unaongezaje?maana supa kasi ya elfu 50 ya voda aikubali kudownload movies ila youtube poa,netflix n.k kudownload torrent tu ndio mb 200 wiki unaweza usimalizeMinimum 10, ila router nyengine zinazidi hapo.
Sema 4mbps inatosha watu kama wawili ama watatu tu. Mkiwa wengi itabidi uongeze speed.
Unajiungaje? Na hiyo speed ni baada ya kuisha kifurushi au ndo ipo hivyoSpeed unaongezaje?maana supa kasi ya elfu 50 ya voda aikubali kudownload movies ila youtube poa,netflix n.k kudownload torrent tu ndio mb 200 wiki unaweza usimalize
Simulator ipi ya simu au pcMkuu mimi itokee siku tu uje na link ya bus simulator. Nitashukuru sana