Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #6,141
Unaongeza kwa kununua kifurushi cha juu zaidi kama una 4mbps unanunua 8mbps ama 20mbps etc.Speed unaongezaje?maana supa kasi ya elfu 50 ya voda aikubali kudownload movies ila youtube poa,netflix n.k kudownload torrent tu ndio mb 200 wiki unaweza usimalize
Ahsante kiongoziUnaongeza kwa kununua kifurushi cha juu zaidi kama una 4mbps unanunua 8mbps ama 20mbps etc.
Hiyo ya 50k unanunuaje chiefUnaongeza kwa kununua kifurushi cha juu zaidi kama una 4mbps unanunua 8mbps ama 20mbps etc.
Kama unamaanisha TTCL unaenda ofisini kwao na kujaza fomu.Hiyo ya 50k unanunuaje chief
Hua unastream kwenye TV nini Mzee BabaJumapili nitatimiza GB 120 tokea nimeungwa na Unlimited ya Voda, maana naona wastani ni 12GB kwa siku
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yeah kama hapa nimemuacha dogo anaangalia katuni.Hua unastream kwenye TV nini Mzee Baba
Hiyo imekaa poa Sana.Yeah kama hapa nimemuacha dogo anaangalia katuni.
Nimewawekea 720p maana 1080 inasumbua
Tena wana bahati si mpenda movie, maana nadhani kwa siku GB 30 zingeisha.Hiyo imekaa poa Sana.
Wanastream 4k haoTena wana bahati si mpenda movie, maana nadhani kwa siku GB 30 zingeisha.
Ya home kwa Mzee naona wanatumia 100GB kwa siku
Io unyama mwngi aiseeeTena wana bahati si mpenda movie, maana nadhani kwa siku GB 30 zingeisha.
Ya home kwa Mzee naona wanatumia 100GB kwa siku
Supa kasi Kumbe ina Limit tena!?Speed unaongezaje?maana supa kasi ya elfu 50 ya voda aikubali kudownload movies ila youtube poa,netflix n.k kudownload torrent tu ndio mb 200 wiki unaweza usimalize
Hakuna supakasi yenye limit mkuu pitia comment za supakasi utaelewaSupa kasi Kumbe ina Limit tena!?
No Voda chief maana sijaona hiyo menuKama unamaanisha TTCL unaenda ofisini kwao na kujaza fomu.
Unajiungaje ya 50kHakuna supakasi yenye limit mkuu pitia comment za supakasi utaelewa
Ukihtaji Kasi ya 50k ndo unapewa cap ya GB zkiisha speed inapungua tu
kifurushi cha kawaida cha internet *149*01# kinakuwa ni cha mweziNo Voda chief maana sijaona hiyo menu
Ndo wanatoa 24600mb kwa siku 60,nimeingia kwenye supakasikifurushi cha kawaida cha internet *149*01# kinakuwa ni cha mwezi
Nafkiri ni hicho, ila nafahamu ni siku 30.Ndo wanatoa 24600mb kwa siku 60,nimeingia kwenye supakasi