Mkuu nilikuwa sina Telegram, nimedownload telegram inaniambia namba yangu iko active huko Telegram nikaomba wanitumie code mpya wakatuma, nimeingiza bado wanadai additional password ambayo watatuma kwenye email, it seems amafungua account kwa email yake. Nikaamua kureset account inaniambia account will be reset in 7 days. Sasa siku 7 zote hizo hatakuwa hajafanya tu uhalifu??
Nimeingia telegram support kupitia Chrome nikaelezea tatizo langu lote, nikasubmit so sijui lini watanipa mrejesho. Hamna lingine unalijua ninaweza kufanya?
Sasahivi nikiingia Telegram inaniambia account will be reset in 7 days
View attachment 2512604