Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nimemreport WhatsApp na nimeireport Telegram
Screenshot_20230210-140924.jpg
 
No nenda telegram na hio line yako uliopokea code, close open session zote. Huyo jamaa sasa hivi anatumia line yako kufanya uhalifu.
Mkuu nilikuwa sina Telegram, nimedownload telegram inaniambia namba yangu iko active huko Telegram nikaomba wanitumie code mpya wakatuma, nimeingiza bado wanadai additional password ambayo watatuma kwenye email, it seems amafungua account kwa email yake. Nikaamua kureset account inaniambia account will be reset in 7 days. Sasa siku 7 zote hizo hatakuwa hajafanya tu uhalifu??
Nimeingia telegram support kupitia Chrome nikaelezea tatizo langu lote, nikasubmit so sijui lini watanipa mrejesho. Hamna lingine unalijua ninaweza kufanya?
Sasahivi nikiingia Telegram inaniambia account will be reset in 7 days
Screenshot_20230210-155415.jpg
 
AIRTEL SME BANDO!!!!!
VIGEZO:
1.TIN ( hata kama huna nakutengenezea kwa buku tu AU kama ukileta mtu yeyote nakutengenezea BURE.
Muhimu uwe na Namba ya NIDA

2. picha ya Passport size.

3. Lain unayotaka kuungwa.

4. Utachangia 10000 tu kwa zoezi zima la kuungwa. Ambapo utakuwa unaweza kufikia hio menu wewe mwenyewe na kuchagua kipi cha kujiunga!

Nicheki:
piga/whatsapp: 0710535327

NB: Uaminifu ni kitu kidogo, UNAWEZA LIPIA BAADA YA KAZI

Mbna naona bei bado iko juu kama hz bando za kawaida tu??

Mfano kwa 1500Tsh unapata MB 700
Ukichukua MB 700 mara nne ni sawa na 2800MB (yaan MB 3000 kasoro).

Haya, 1500Tsh mara nne sawa na 6000Tsh.

Mpaka hapa unaona,,, napata MB 2800 kwa 6000Tsh.

Alafu hyo menu inanipa MB 3000 kwa 5000Tsh yaan gap ni dogo sana ukilinganisha na huo mchakato mara tin namba mara pasport mara nida.
 
Challange yako ni yakitoto sana.
chukua mfano wa mtu anayenunua kifurushi cha 20k au 30k kwa mwezi halafu uje na hesabu.

Nakusaidia;👇🏿
30k anapata gb35 kwa siku 30.

Kwa siku hizo hizo 30, atakayenunua Mb 700 kwa 1500 kwa siku 30.
Maana yake 1500×30= 45000. Na atapata gb21 tu( 700×30= 21000 approx to gb21)

Tofauti 45000-30000=15000./=
30gb-21gb =9gb

HITIMISHO:
1. Kadri unavyonunua kifurushi cha pamoja cha bei kubwa unazidi kupata faida kubwa zaidi ya yule anayenunua cha bei ndogo.
 
Challange yako ni yakitoto sana.
chukua mfano wa mtu anayenunua kifurushi cha 20k au 30k kwa mwezi halafu uje na hesabu.

Nakusaidia;[emoji1541]
30k anapata gb35 kwa siku 30.

Kwa siku hizo hizo 30, atakayenunua Mb 700 kwa 1500 kwa siku 30.
Maana yake 1500×30= 45000. Na atapata gb21 tu( 700×30= 21000 approx to gb21)

Tofauti 45000-30000=15000./=
30gb-21gb =9gb

HITIMISHO:
1. Kadri unavyonunua kifurushi cha pamoja cha bei kubwa unazidi kupata faida kubwa zaidi ya yule anayenunua cha bei ndogo.
Naona hujaelewa nlichoandika.
 
Naona hujaelewa nlichoandika.
Mbona hata mtoto mdogo anaelewa.
umesema Mb 700 ni 1500.
ukuchukua reference ya kifurushi cha bei ndogo kabisa cha wiki.
5000 unapata gb 3.
Kwamba, 1500× 4 = 6000, Ambayo ni sawa na mb700× 4= 2800( Approx to 3gb) .
Na tofauti ya gharama ni buku tu.

Chukua hesabu hio hio kwa kifurushi cha 30,000/=.

Utaona hesabu zako ni Mbovu!
Nimekusaidia hapo juu, Soma tena!
 
Sio kwel mzee.. ukijua utajiuliza kwa nn ulichelewa... watu wanaseleleka na hiyo pamoja na ttcl ila ttcl ni unlimited kwa mwezi mmoja
Mkuu ttcl nayo ina vifurushi vipi kwa sasa ambavo ni vizuri sawa na huvi bua SmE ya airtel naomba fafanua kidogo kama hutajali kwa yeyote anaefahamu atusanue jmn hali ni ngumu
 
Mkuu ttcl nayo ina vifurushi vipi kwa sasa ambavo ni vizuri sawa na huvi bua SmE ya airtel naomba fafanua kidogo kama hutajali kwa yeyote anaefahamu atusanue jmn hali ni ngumu
TTCL hawana Vifurushi vya kibiashara kama Airtel(SME) na Tigo( tigo business post paid).
TTCL wana huduma ya Fiber ambayo unafungiwa kweny nyumba yako au biashara yako. Ila kwa sasa wako maeneo ya Town Tu.

Ushauri: Hali ni ngumu Kweli, kwanini usisajili laini ya Airtel ambayo ni buku tu. Kisha ujiunge SME?

Kwa mahitaji ya kuungwa SME nicheki whatsapp: 0710535327.
IMG-20230212-WA0065.jpg

NB: MALIPO BAADA YA KAZI
 
AIRTEL SME BANDO!!!!!
VIGEZO:
1.TIN ( hata kama huna nakutengenezea kwa buku tu AU kama ukileta mtu yeyote nakutengenezea BURE.
Muhimu uwe na Namba ya NIDA

2. picha ya Passport size.

3. Lain unayotaka kuungwa.

4. Utachangia 10000 tu kwa zoezi zima la kuungwa. Ambapo utakuwa unaweza kufikia hio menu wewe mwenyewe na kuchagua kipi cha kujiunga!

Nicheki:
piga/whatsapp: 0710535327

NB: Uaminifu ni kitu kidogo, UNAWEZA LIPIA BAADA YA KAZI

Vipi kwa voda hakuna unyama kama huu
 
Back
Top Bottom