Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #6,241
Hela nyingi sana hio, ya maji tu wanakuja cha muhimu deal na watu wa field sio wa Ofisini.Kwenye ugumu penyeza rupiaa, Ninae mwanangu kafanikiwa kufungiwa ndani ya wiki 3 tu. Kama 200k hivi ilimtoka