Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hebu nitajieni VPN au application yoyote ile ambayo unalipia kiasi cha pesa kwa mwezi halafu unapata free internet mwezi mzima.
Anayejua pls, anisaidie
 
Natafuta mtu wa halotel atakae niuzia vocha za 500000/= kwa 200000/=
 
Wakuu kwaiyo mnataka kunambia kwamba hakuna njia ya mimi kupata fiber au louter ambay ntalipia 100k kwa mwezi huku kigamboni maana nashida sanaa asee
Kwa Kigamboni kuna jamaa wanaitwa Elmax Networks (instagram wanatumia @elmaxnetworks ). Wana unlimited internet (unanunua speed). Speeds zao ni kuanzia 6Mbps ambayo ni around US $45 (106,000/= hivi) kila mwezi. Speed ni dedicated, sio shared kama ilivyo kwa "unlimited" za mitandao yetu ya simu. Wanakuwekea antenna juu, then router ndani. Iko vizuri, mi naitumia Kigamboni hii hii. Maana huku Zuku na wengine hawajafika bado (ukitoa maeneo ya darajani kule) na TTCL Fibre wanaringa mno.
 
ttcl now wamesogea mpka kisota hapa nimeshajaza form nawasubir waje kunifungia
 
Mzee TTCL watu tuna zaidi ya 5 months tangu tujaze form na hawajaja hata kusurvey. Hao jamaa nilishagive up kabisa. Plus customer support mtihani kweli!
 
Kwenye ugumu penyeza rupiaa, Ninae mwanangu kafanikiwa kufungiwa ndani ya wiki 3 tu. Kama 200k hivi ilimtoka
 
Back
Top Bottom