Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

N package nzuri mimi nimechukua cha kombo
Screenshot_20230204-111812.jpg
Screenshot_20230204-121725.jpg
 
Je, Wajua!!!
Ukiwa na Lipa Namba ya Airtel;
1.Unatoa kiasi chochote buuure kwa wakala mara moja ndani ya masaa 24. Hata laki tano, unatoa kama ilivyo hukatwi hata sentano?
NOTE; Muamala mmoja tu kila siku, yaani ukitoa leo ni mpaka 24 yapite, ikitokea unataka kutoa zaidi ya mara moja ndani ya masaa 24 kuna makato madogo sana sana sana.

2.Ukitaka mtu akutumie pesa Makato ni madogo ukilinganisha na utaratibu wa kawaida!

Vigezo:
1. Namba yako ya simu ya Airtel.
2. 5000/= ya kutengenezewa Lipa Namba

NOTE: MALIPO BAADA YA KAZI

Whatsapp/Piga: 0710535327

Mfano wa ada za kutuma kupitia Lipa namba👇🏿👇🏿
 
Attachments

  • IMG_20230208_110725.jpg
    IMG_20230208_110725.jpg
    72.5 KB · Views: 29
Je, Wajua!!!
Ukiwa na Lipa Namba ya Airtel;
1.Unatoa kiasi chochote buuure kwa wakala mara moja ndani ya masaa 24. Hata laki tano, unatoa kama ilivyo hukatwi hata sentano?
NOTE; Muamala mmoja tu kila siku, yaani ukitoa leo ni mpaka 24 yapite, ikitokea unataka kutoa zaidi ya mara moja ndani ya masaa 24 kuna makato madogo sana sana sana.

2.Ukitaka mtu akutumie pesa Makato ni madogo ukilinganisha na utaratibu wa kawaida!

Vigezo:
1. Namba yako ya simu ya Airtel.
2. 5000/= ya kutengenezewa Lipa Namba

NOTE: MALIPO BAADA YA KAZI

Whatsapp/Piga: 0710535327

Mfano wa ada za kutuma kupitia Lipa namba👇🏿👇🏿
Mimi mwenye lipa No nikitoa Zaidi ya laki 5 nakatwa kiasi gani?
 
Sawali zuri.
Iko hivi, ukiwa na lipa namba Inakuwezesha kutoa Mara moja bure kiasi chochote hata Million 2, mara moja ndani ya saa 24, ndani ya muda huo, ukitoa mara ya pili kuna charges ambazo pia ni Ndogo sana ukilinganisha na zakawaida.( almost 30%-40%).
Then, Baada ya Saa 24 unaruhusiwa kutoa mara moja bure, further withdarw kuna charges, Hio ndio circle Masta!
 
Mimi mwenye lipa No nikitoa Zaidi ya laki 5 nakatwa kiasi gani?
Chief naomba msaada kidogo ingawa ni nje ya mada.
Hivi hapa napigwa au[emoji28][emoji28]
Screenshot_20230210-121617.jpg
Nimepata mashaka nikamblock af nimemripoti tayari. Hivi umeshawahi kupata experience na hii kitu? Naomba ufafanuzi
 
Ungeendelea nae ukaona mwisho wake. Japo ni tapeli tu huyo
Chief naomba msaada kidogo ingawa ni nje ya mada.
Hivi hapa napigwa au[emoji28][emoji28]View attachment 2512437 Nimepata mashaka nikamblock af nimemripoti tayari. Hivi umeshawahi kupata experience na hii kitu? Naomba ufafanuzi

Dah mkuu hio code ilikuja kwa sms na ukamtumia? Tafuta hio sms origin yake ukajitoe otherwise huwezi jua anatumia no yako kufanyia nini. Unaweza hadi pewa kesi ya ugaidi.
 
Back
Top Bottom