Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu nilikuwa sina Telegram, nimedownload telegram inaniambia namba yangu iko active huko Telegram nikaomba wanitumie code mpya wakatuma, nimeingiza bado wanadai additional password ambayo watatuma kwenye email, it seems amafungua account kwa email yake. Nikaamua kureset account inaniambia account will be reset in 7 days. Sasa siku 7 zote hizo hatakuwa hajafanya tu uhalifu??
Nimeingia telegram support kupitia Chrome nikaelezea tatizo langu lote, nikasubmit so sijui lini watanipa mrejesho. Hamna lingine unalijua ninaweza kufanya?
Sasahivi nikiingia Telegram inaniambia account will be reset in 7 days View attachment 2512604
Yule ambae ulikuw unachat nae hapo juu ndio amefungulia account, amesajil kule umetumiw code bila kusoma wew ukamtumia ,
 
Wakuu naomba hatfile za Ha tunnel plus zilizo active za mtandao wowote.
 
AIRTEL SME BANDO!!!!!
VIGEZO:
1.TIN ( hata kama huna nakutengenezea kwa buku tu AU kama ukileta mtu yeyote nakutengenezea BURE.
Muhimu uwe na Namba ya NIDA

2. picha ya Passport size.

3. Lain unayotaka kuungwa.

4. Utachangia 10000 tu kwa zoezi zima la kuungwa. Ambapo utakuwa unaweza kufikia hio menu wewe mwenyewe na kuchagua kipi cha kujiunga!

Nicheki:
piga/whatsapp: 0710535327

NB: Uaminifu ni kitu kidogo, UNAWEZA LIPIA BAADA YA KAZI
Hizo dakika ni mitandao yose?
 
Mwenye telegram link ya lile group la HA TUNNEL vpn anisaidie nataka nirudi huko
Bonyeza hizo mistari mitatu juu kushoto kwenye app ya ha tunnel,itakupeleka kwenye hizo setting na kuingia kwa telegram
20230302_150359.jpg
View attachment 2534800
 
Back
Top Bottom