Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Naomba nilete mrejesho wa huyu jamaa geosir kuhusu hivi vifurushi vya SME
Kiukweli huyu jamaa binafsi nilikuwa simuamini lakini kuna siku nikamcheki nikaongea nae akanipa procedure zote then akaniambia malipo nitalipa elfu 10 baada ya yeye kumaliza kazi na mimi kuhakikisha kuwa kweli nimeunganishwa.
Kweli ilipofika usiku nilimtumia picha yangu ya Passport Size & TIN number kupitia Whatsapp ila akasema Kitambulisho Cha NIDA sio ishu sana.
Basi kesho yake asubuhi ikaingia message kutoka airtel kuwa namba yangu imeunganishwa kwenye huduma ya SME.
Baadae nikamcheki maana nilikuwa kazini nikamwambia after lunch time nitakutumia elfu 10 yako ya malipo.
Kweli baadae nikamtumia pesa yake na mpaka Sasa natumia huduma hii.
Hongera sana Mr geosir kwa uaminifu wako, ila kuwa makini maana kuna watu wengine wanaweza kuwa sio waaminifu unamuunga then akaingia mitini bila kukulipa .
MUNGU AKUSIMAMIE KATIKA SHUGHULI ZAKO ZA KILA SIKU.
 
Shukrani sana Mkuu..
 
Hata mimi ni shuhuda wa hili, aliniunga nikachelewa kumtumia pesa yake kwa wakati ila nilimtumia siku hiyo hiyo. [emoji120][emoji120]
 
Nakaa nangojea mtu wa uhakika mwenye bando nzuri za Halotel, amini usiamini lwa eneo nilipo mimi huu mtandao ni balaa nahitaji bando
 
Maana yake nini jamaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

by the way asante sana geosir kwa kuniongezea bili kila mwisho wa mweziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

bando nimelielewaπŸ™πŸ™πŸ™
 
So ulitaka uwe na mabando mawili mzee dah
Pengine labda cjaelewa au wewe ndio hujanielewa, mm nilidhani ukiwa na hii Ha tunnel uki switch on huna haja ya kutumia bando lako kwamba hata kama simu yangu sijaweka bando naweza nika access internet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…