Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

TTCL hawana Vifurushi vya kibiashara kama Airtel(SME) na Tigo( tigo business post paid).
TTCL wana huduma ya Fiber ambayo unafungiwa kweny nyumba yako au biashara yako. Ila kwa sasa wako maeneo ya Town Tu.

Ushauri: Hali ni ngumu Kweli, kwanini usisajili laini ya Airtel ambayo ni buku tu. Kisha ujiunge SME?

Kwa mahitaji ya kuungwa SME nicheki whatsapp: 0710535327.
View attachment 2516919
NB: MALIPO BAADA YA KAZI
Naomba nilete mrejesho wa huyu jamaa geosir kuhusu hivi vifurushi vya SME
Kiukweli huyu jamaa binafsi nilikuwa simuamini lakini kuna siku nikamcheki nikaongea nae akanipa procedure zote then akaniambia malipo nitalipa elfu 10 baada ya yeye kumaliza kazi na mimi kuhakikisha kuwa kweli nimeunganishwa.
Kweli ilipofika usiku nilimtumia picha yangu ya Passport Size & TIN number kupitia Whatsapp ila akasema Kitambulisho Cha NIDA sio ishu sana.
Basi kesho yake asubuhi ikaingia message kutoka airtel kuwa namba yangu imeunganishwa kwenye huduma ya SME.
Baadae nikamcheki maana nilikuwa kazini nikamwambia after lunch time nitakutumia elfu 10 yako ya malipo.
Kweli baadae nikamtumia pesa yake na mpaka Sasa natumia huduma hii.
Hongera sana Mr geosir kwa uaminifu wako, ila kuwa makini maana kuna watu wengine wanaweza kuwa sio waaminifu unamuunga then akaingia mitini bila kukulipa .
MUNGU AKUSIMAMIE KATIKA SHUGHULI ZAKO ZA KILA SIKU.
 
Shukrani sana Mkuu..
 
Hata mimi ni shuhuda wa hili, aliniunga nikachelewa kumtumia pesa yake kwa wakati ila nilimtumia siku hiyo hiyo. [emoji120][emoji120]
 
NAWALETEA UNYAMA HUU AIRTEL SME...
share4559162528918870197.jpg
 
Nakaa nangojea mtu wa uhakika mwenye bando nzuri za Halotel, amini usiamini lwa eneo nilipo mimi huu mtandao ni balaa nahitaji bando
 
So ulitaka uwe na mabando mawili mzee dah
Pengine labda cjaelewa au wewe ndio hujanielewa, mm nilidhani ukiwa na hii Ha tunnel uki switch on huna haja ya kutumia bando lako kwamba hata kama simu yangu sijaweka bando naweza nika access internet.
 
Back
Top Bottom